Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Utaenda mbinguni moja kwa mojaSasa nikipigwa bomu nikiwa kanisan je
Utaenda mbinguni moja kwa mojaSasa nikipigwa bomu nikiwa kanisan je
unaenda mbinguniSasa nikipigwa bomu nikiwa kanisan je
Wanaofanya mitihani ni wanafunzi husika... Wengine twendeni makanisani!Huyu Padre ni mjinga na mpumbavu. Nani kamwambia kesho kutakuwa na mabomu? Kesho ni siku ya mtihani wa Taifa Kidato cha Nne. Au kwakuwa yeye hana familia na hana mtoto hajui hilo?
Amani na salamaWakatoliki hatuna, bunduki, hatuna, mizinga, hatuna mabomu ya machozi, silaha yetu pekee ni sala, hata kama mtakutana na mabomu kama ya tarehe 29/10 njooni kanisani tusali, kwa Mungu hakuna linaloshindikana.
View attachment 3700491
ok,
ni vizuri mkimaliza huo unafiki wenu mwende makwenu kwa amani na itapendeza zaidi 🐒
The nation is mourning.. ! The nation is weepingWakatoliki hatuna, bunduki, hatuna, mizinga, hatuna mabomu ya machozi, silaha yetu pekee ni sala, hata kama mtakutana na mabomu kama ya tarehe 29/10 njooni kanisani tusali, kwa Mungu hakuna linaloshindikana.
View attachment 3700491
Hahahahaa!Wakatoliki hatuna, bunduki, hatuna, mizinga, hatuna mabomu ya machozi, silaha yetu pekee ni sala, hata kama mtakutana na mabomu kama ya tarehe 29/10 njooni kanisani tusali, kwa Mungu hakuna linaloshindikana.
View attachment 3700491
Nani kamwambia kesho kutakuwa na mabomu? Kesho ni siku ya mtihani wa Taifa Kidato cha Nne. Au kwakuwa yeye hana familia na hana mtoto hajui hilo?
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sisi wazazi wenye watoto wanaoganya mitihani hayuko tayari wajinga wachache wahawaharibie watoto wetu future yao for their personal egos. Nimeishaamka namsindikiza mwanangu mwenyewe shuleni halafu nione mtu analeta nywi au nywinywinywi aone! Hakuna kusubiri Polisi. Tunamalizana!Kwa ivo Kila mtanzania anafanya hiyo mitihani uliyosema?
Good!Wanaofanya mitihani ni wanafunzi husika... Wengine twendeni makanisani!
Mimi ni PhD Candidate na ninataka binti yangu anayemaliza form four mwaka huu nae afikie ngazi hiyo au zaidi. Na sitaruhusu mtu mhuni kumkwamisha.Kwa hiyo huo mtihani unatuhusu nini sisi wenye Masters na wengine tusiosoma hiyo elimu yenu ya kukariri?
Sasa nikipigwa bomu nikiwa kanisan je
Watafanya roll call kwa watumishi maofisiniWakatoliki hatuna, bunduki, hatuna, mizinga, hatuna mabomu ya machozi, silaha yetu pekee ni sala, hata kama mtakutana na mabomu kama ya tarehe 29/10 njooni kanisani tusali, kwa Mungu hakuna linaloshindikana.
View attachment 3700491