Gentleman,Wakatoliki hatuna, bunduki, hatuna, mizinga, hatuna mabomu ya machozi, silaha yetu pekee ni sala.
Askofu kaita watu kanisani.Gentleman,
mueleze muhashamu Baba Askofu kwamba namuheshimu sana na ninamsalimu katika Kristo,
hata hivyo ,
mkitoka kanisani na kuja kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi na makazi ya watu, kupiga wananchi waliokataa huo unafiki wenu, mtadhibitiwa vizuri sana na vyombo vya ulinzi na usalama, na kuzima kabisa mbinu zenu za kutekeleza uovu na ghasia mtakazokua mmefunzwa huko kwenye hiyo ibada ya kinafiki , okay?🐒
Siku hizi umekuwa mtabiri wa nyota.Gentleman,
mueleze muhashamu Baba Askofu kwamba namuheshimu sana na ninamsalimu katika Kristo,
hata hivyo ,
nyinyi waamini,
mkitoka huko kanisani na kuja kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi na makazi ya watu, kupiga wananchi waliokataa huo unafiki wenu, mtadhibitiwa vizuri sana na vyombo vya ulinzi na usalama, na kuzima kabisa mbinu zenu za kutekeleza uovu na ghasia mtakazokua mmefunzwa huko kwenye hiyo ibada ya kinafiki , okay?🐒
Askofu yupo sahihi kabisa.Askofu kaita watu kanisani.
Huyu Padre Nani kamwambia kesho kutakuwa na mabomu? Kesho ni siku ya mtihani wa Taifa Kidato cha Nne. Au kwakuwa yeye hana familia na hana mtoto hajui hilo?Wakatoliki hatuna, bunduki, hatuna, mizinga, hatuna mabomu ya machozi, silaha yetu pekee ni sala, hata kama mtakutana na mabomu kama ya tarehe 29/10 njooni kanisani tusali, kwa Mungu hakuna linaloshindikana.
View attachment 3700491
Wewe mbona unafika mbali sanaGentleman,
mueleze muhashamu Baba Askofu kwamba namuheshimu sana na ninamsalimu katika Kristo,
hata hivyo ,
nyinyi waamini,
mkitoka huko kanisani na kuja kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi na makazi ya watu, kupiga wananchi waliokataa huo unafiki wenu, mtadhibitiwa vizuri sana na vyombo vya ulinzi na usalama, na kuzima kabisa mbinu zenu za kutekeleza uovu na ghasia mtakazokua mmefunzwa huko kwenye hiyo ibada ya kinafiki , okay?🐒
Kwenu wapi? Huku kwengine hali ni shwari, kesho wa kusali wakasali kuwakumbuka wapendwa wao.Mtaani kwetu kimenuka balaaa aisee Ma sisiemu kazi wanayo maandamano makubwa hali ni mbaya
Huko mtaani kwenu kuna kanisa katoliki?Mtaani kwetu kimenuka balaaa aisee Ma sisiemu kazi wanayo maandamano makubwa hali ni mbaya
Kusali inasaidia nini?Kwenu wapi? Huku kwengine hali ni shwari, kesho wa kusali wakasali kuwakumbuka wapendwa wao.
Ndo zao, hata mwaka jana walienda mbali.Wewe mbona unafika mbali sana
Zingatia maelezo gentleman,Askofu kaita watu kanisani.
Karibu kwenye misa St Peters.jikite tu moja kwa moja kwenye hoja mahususi mezani bila makasiriko na itapendeza zaidi 🐒
Kwa ivo Kila mtanzania anafanya hiyo mitihani uliyosema?Nani kamwambia kesho kutakuwa na mabomu? Kesho ni siku ya mtihani wa Taifa Kidato cha Nne.
Kama familia yako haina miongozo na mafundisho ya dini acha wenzako wakasali.Kusali inasaidia nini?
CCM inachukia sana maombi/Sala za kweli... Nakumbuka CCM walivyoleta taharuki wakati wa "pray for Lissu".Kama familia yako haina miongozo na mafundisho ya dini acha wenzako wakasali.