Askofu Rweyongeza: Hata kama kesho kutakuwa na mabomu kama ya tarehe 29, njoo Kanisani kusali

Wanafikri na sisi tunashinda tunakula sadaka kama wao🚮🚮
After all: ni maaskofu hata biblia hawaijui wamepumbazwa na akina mangekimambi l
 
Wakatoliki hatuna, bunduki, hatuna, mizinga, hatuna mabomu ya machozi, silaha yetu pekee ni sala, hata kama mtakutana na mabomu kama ya tarehe 29/10 njooni kanisani tusali, kwa Mungu hakuna linaloshindikana.



View attachment 3700491
Hahahahaa!
Wanalazimisha bifu mserereko, nani awapige mabomu eti kisa wanaenda kusali?!!! Imewahi kutokea lini?!!! Waache UNAFIKI NA CHUKI viongozi hawa (wanaojiita wa Mungu). Lengo lao ni kuleta Taharuki na kulazimisha ionekane kuna manyanyaso. Ni hasira za kushindwa kumuondoa Samia okt 29. Kama watawahamasisha hao wafuasi wao kufanya vurugu kama walivyofanya tarehe 29 okt basi watakabiliwa na mkono wa Sheria.
 
Nani kamwambia kesho kutakuwa na mabomu? Kesho ni siku ya mtihani wa Taifa Kidato cha Nne. Au kwakuwa yeye hana familia na hana mtoto hajui hilo?

Kwa hiyo huo mtihani unatuhusu nini sisi wenye Masters na wengine tusiosoma hiyo elimu yenu ya kukariri?
 
IGP Jana analia baba yake kafa 😁😁😁..
Msiba hauna mwenyewe
 
Kwa ivo Kila mtanzania anafanya hiyo mitihani uliyosema?
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sisi wazazi wenye watoto wanaoganya mitihani hayuko tayari wajinga wachache wahawaharibie watoto wetu future yao for their personal egos. Nimeishaamka namsindikiza mwanangu mwenyewe shuleni halafu nione mtu analeta nywi au nywinywinywi aone! Hakuna kusubiri Polisi. Tunamalizana!
 
Kwa hiyo huo mtihani unatuhusu nini sisi wenye Masters na wengine tusiosoma hiyo elimu yenu ya kukariri?
Mimi ni PhD Candidate na ninataka binti yangu anayemaliza form four mwaka huu nae afikie ngazi hiyo au zaidi. Na sitaruhusu mtu mhuni kumkwamisha.
 
Wakatoliki hatuna, bunduki, hatuna, mizinga, hatuna mabomu ya machozi, silaha yetu pekee ni sala, hata kama mtakutana na mabomu kama ya tarehe 29/10 njooni kanisani tusali, kwa Mungu hakuna linaloshindikana.



View attachment 3700491
Watafanya roll call kwa watumishi maofisini
 
Mkileta vurugu tu , mtatandikwa kweli , fanyeni ibada zenu kwa adabu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…