Askofu Rweyongeza: Kanisani si mahali pakufanya siasa

Askofu Rweyongeza: Kanisani si mahali pakufanya siasa

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Kanisa si mahali pajukwaa la kisiasa, kuja kanisa umevaa mavazi ya chama chako zinapaswa kupaki nje huko.

Maandiko matakatifu ni sauti ya Mungu, kwahiyo kanisani ni shughuli za Ibada, sala, kumtukuza Mungu, kuongea matakatifu alisema Askofu Rweyongeza

Naona mstari unaanza kunyooka. Kanisa limesema kwamba kanisani ni mahala pa kumwabudu Mungu tu, na kwamba wale wenye mambo ya siasa au kauli za kisiasa watafute mahala pengine.
View attachment 3366130
Hao wakatoliki watamuabudu vipi Mungu kama mapadri wao wanatekwa au kupigwa nusura kufa kama alivyopigwa Kitima?!

Halafu wakikemea vitu kama hivyo wanaambiwa wamefanya siasa.

Halafu hujasema, ni Askofu au Padri gani kasema hayo uliyoandika? au umezusha tu? Maana CCM ni kama mmechanganyikiwa, mnaongea mambo ya kushangaza sana!
 
Hao wakatoliki watamuabudu vipi Mungu kama mapadri wao wanatekwa au kupigwa nusura kufa kama alivyopigwa Kitima?!

Halafu wakikemea vitu kama hivyo wanaambiwa wamefanya siasa.

Halafu hujasema, ni Askofu au Padri gani kasema hayo uliyoandika? au umezusha tu? Maana CCM ni kama mmechanyikiwa, mnaongea mambo ya kushangaza sana!
Kitima ujinga wake umemponza, bora wamepiga marufuku
 
Kanisa linatakiwa kua halijafungamana na upande wowote. Linatakiwa kukema pale ambapo hapako sawa na linatakiwa litoe pongezi pale panapostahili. Ila kwa tulipofikia sasa baadhi ya makanisa yamechagua upande wa kupongeza tu na kisahau upande wa kukemea na kushauri pale mambo yanapo kwenda ndivyo sivyo.

Kwa wajuzi wa historia yangu kuanzishwa kwa kanisa, hakujawahi kutokea zama yoyote ile ambapo kanisa lilitenganishwa na siasa.
 
siasa ni ipi hasa
ukikosoa ndio inaonekana dhambi ila ukisifia hapo safi siasa ni nini hasa
 
Kanisa si mahali pajukwaa la kisiasa, kuja kanisa umevaa mavazi ya chama chako zinapaswa kupaki nje huko.

Maandiko matakatifu ni sauti ya Mungu, kwahiyo kanisani ni shughuli za Ibada, sala, kumtukuza Mungu, kuongea matakatifu alisema Askofu Rweyongeza
20250612_190153.jpg
 
View: https://youtu.be/SBMX5hNBljI

Nchi vilaza ni wengi wanachumia matumbo
 
Attachments

  • IMG-20250611-WA0007.jpg
    IMG-20250611-WA0007.jpg
    93 KB · Views: 25
Wapi, na kwa namna gani alitaka kuligeuza kanisa kuwa chadema?
Alikuwa anafanya vikao kanisani vya chadema, anamuahidi mnyaturu mwenzake kwamba atampa urais na kwamba maaskofu wote na kanisa kawaweka mfukoni, ana mfuko mkubwa kiasi gani huyu Kitima?
 
Back
Top Bottom