kababu
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,834
- 913
amesema kanisani sehemu ya kumtukuea mungu na kumuomba haturehemu, sehemu takatifu ya kumtukuza mungu na si pango la siasa na mambo ya kidunia.Kwani kunaathiri nini kuimba.. Je hiyo ni siasa!? Upuuzi mkubwa huu