🚮Naona mstari unaanza kunyooka. Kanisa limesema kwamba kanisani ni mahala pa kumwabudu Mungu tu, na kwamba wale wenye mambo ya siasa au kauli za kisiasa watafute mahala pengine.
View attachment 3366130
Ila linaruhusiwa kuwasifu na kuwaombea.. Wapuuzi kweli nyieKanisa si mahali pajukwaa la kisiasa, kuja kanisa umevaa mavazi ya chama chako zinapaswa kupaki nje huko.
Hao wakatoliki watamuabudu vipi Mungu kama mapadri wao wanatekwa au kupigwa nusura kufa kama alivyopigwa Kitima?!Naona mstari unaanza kunyooka. Kanisa limesema kwamba kanisani ni mahala pa kumwabudu Mungu tu, na kwamba wale wenye mambo ya siasa au kauli za kisiasa watafute mahala pengine.
View attachment 3366130
Kitima ujinga wake umemponza, bora wamepiga marufukuHao wakatoliki watamuabudu vipi Mungu kama mapadri wao wanatekwa au kupigwa nusura kufa kama alivyopigwa Kitima?!
Halafu wakikemea vitu kama hivyo wanaambiwa wamefanya siasa.
Halafu hujasema, ni Askofu au Padri gani kasema hayo uliyoandika? au umezusha tu? Maana CCM ni kama mmechanyikiwa, mnaongea mambo ya kushangaza sana!
Ujinga gani huo uliomponza?Kitima ujinga wake umemponza, bora wamepiga marufuku
Sasa chadema wanaingia kanisani wanaimba No Reform No Election.... Lazima wakemewe
🙄🙄🙄🙄🙄Nani sasa ni punguani!!??
Wewe, mleta uzi au Askofu!!??
Kanisa si mahali pajukwaa la kisiasa, kuja kanisa umevaa mavazi ya chama chako zinapaswa kupaki nje huko.
Maandiko matakatifu ni sauti ya Mungu, kwahiyo kanisani ni shughuli za Ibada, sala, kumtukuza Mungu, kuongea matakatifu alisema Askofu Rweyongeza
Kwani, kanisani hawatakiwi kuwaambia waumini wao kwenda kupiga kura?Sasa chadema wanaingia kanisani wanaimba No Reform No Election.... Lazima wakemewe
Wapi, na kwa namna gani alitaka kuligeuza kanisa kuwa chadema?Anataka kuligeuza Kanisa kuwa tawi la Chadema
Nchi vilaza ni wengi wanachumia matumboKanisa si mahali pajukwaa la kisiasa, kuja kanisa umevaa mavazi ya chama chako zinapaswa kupaki nje huko.
Maandiko matakatifu ni sauti ya Mungu, kwahiyo kanisani ni shughuli za Ibada, sala, kumtukuza Mungu, kuongea matakatifu alisema Askofu Rweyongeza
View: https://youtu.be/SBMX5hNBljI
Alikuwa anafanya vikao kanisani vya chadema, anamuahidi mnyaturu mwenzake kwamba atampa urais na kwamba maaskofu wote na kanisa kawaweka mfukoni, ana mfuko mkubwa kiasi gani huyu Kitima?Wapi, na kwa namna gani alitaka kuligeuza kanisa kuwa chadema?