Askofu Rweyongeza: Kanisani si mahali pakufanya siasa

Alikuwa anafanya vikao kanisani vya chadema, anamuahidi mnyaturu mwenzake kwamba atampa urais na kwamba maaskofu wote na kanisa kawaweka mfukoni, ana mfuko mkubwa kiasi gani huyu Kitima?
Kwa hiyo ndio sababu alivamiwa na kupigwa?
 
Na sio pa kusifia basi viongozi
 
Alikuwa anafanya vikao kanisani vya chadema, anamuahidi mnyaturu mwenzake kwamba atampa urais na kwamba maaskofu wote na kanisa kawaweka mfukoni, ana mfuko mkubwa kiasi gani huyu Kitima?
Prove.
 
siasa ni ipi hasa
ukikosoa ndio inaonekana dhambi ila ukisifia hapo safi siasa ni nini hasa
Kisifia siyo dhambi!! Sifa inaleta Raha na mshikamano.Hata Mungu anapenda kusifiwa !! Kwenye kuoenda kusiwa Munngu humtowi nakwambia!!kosoa kunaleta figisu moyoni!! Kaninsani ni mahala pa kuabudu siyo kukosoana!! Tunapotaka kuosoa twende maredioni,mitandao,Tvs ,majukwani , mafuta dini!! Kaninsani ni mahala ambapo Mungu anashuka na kumheshimiwa na wale wanomzunguka!!
 
Alikuwa anafanya vikao kanisani vya chadema, anamuahidi mnyaturu mwenzake kwamba atampa urais na kwamba maaskofu wote na kanisa kawaweka mfukoni, ana mfuko mkubwa kiasi gani huyu Kitima?
Kumbe kitima ni mnyaturu? Kama ni kweli hii Ina jambo
 
Mkuu naomba kuuliza. Kwani kina makonda na Chalamila Kwa mwamposa walikuwa wanaongelea maswala gani?
 
Mkuu nikulize tena. Mh Rais Samia tulimshuhudia majuzi wakati anatoa mchango wake kanisani KKKT alizungumza maswala ya siasa akiwa katika mazingira ya kikanisa kanisa hii imekaaje? Naomba kuelimishwa katika hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…