Askofu Rweyongeza: Kanisani si mahali pakufanya siasa

Kwani kunaathiri nini kuimba.. Je hiyo ni siasa!? Upuuzi mkubwa huu
amesema kanisani sehemu ya kumtukuea mungu na kumuomba haturehemu, sehemu takatifu ya kumtukuza mungu na si pango la siasa na mambo ya kidunia.
 
ko hata kuwasifia wapianzani kanisani ni raha eeeh ama wao hawatakiwi sifiwa pale inakuwa ni siasa
 
Kuteka, kutesa na kuua siku hizi siyo dhambi tena na ukijaribu kukemea dhambi hiyo Kanisani ni kuzungumzia siasa, ama kweli CCM imefilisika kabisa.
 
Soma vizuri, nyie wafuasi wa Braza K Mapovu acheni kukurupuka.
 
Kitima ujinga wake umemponza, bora wamepiga marufuku
Unaweweseka sio! Ujinga wa ccm lazima ukemewe na kila mtu mwenye akili timamu.
Haiwezekani muwe na vikundi vya mauaji na msikemewe
 
Unaweweseka sio! Ujinga wa ccm lazima ukemewe na kila mtu mwenye akili timamu.
Haiwezekani muwe na vikundi vya mauaji na msikemewe
Wahalifu wako kila nchi, CCM hawahusiki au laa leta ushahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…