Pre GE2025 Askofu Shoo afafanua madai ya kuhongwa Tsh. Milioni 150, asema ni mbinu za kumnyamazisha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kiluther Tanzania (KKKT), Askofu Fredirick Shoo amefunguka kwa mara ya kwanza juu ya taarifa alizoziita potofu kuwa amehongwa Sh150 milioni na Rais Samia Suluhu Hassan, akisema ni taarifa zenye lengo la kuvunja nguvu sauti ya kinabii ya kutetea haki.

Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Askofu Shoo aliyasema hayo mwishoni mwa wiki mjini Moshi katika kongamano la viongozi wa dini kanda ya kaskazini lililohudhuriwa na viongozi kutoka taasisi mbalimbali za dini akiwemo Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki (TEC), Padre Charles Kitima.
 
Wakuu,

Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kiluther Tanzania (KKKT), Askofu Fredirick Shoo amefunguka kwa mara ya kwanza juu ya taarifa alizoziita potofu kuwa amehongwa Sh150 milioni na Rais Samia Suluhu Hassan, akisema ni taarifa zenye lengo la kuvunja nguvu sauti ya kinabii ya kutetea haki.

Askofu Shoo aliyasema hayo mwishoni mwa wiki mjini Moshi katika kongamano la viongozi wa dini kanda ya kaskazini lililohudhuriwa na viongozi kutoka taasisi mbalimbali za dini akiwemo Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki (TEC), Padre Charles Kitima.
Huu mkate wa nchi na asali acha wale wachache walioamua kutangulia mbele kifikra, sie wengine acha tumlilie mungu (ujinga) atusaidie mvua zinyeshe
 
Wakuu,

Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kiluther Tanzania (KKKT), Askofu Fredirick Shoo amefunguka kwa mara ya kwanza juu ya taarifa alizoziita potofu kuwa amehongwa Sh150 milioni na Rais Samia Suluhu Hassan, akisema ni taarifa zenye lengo la kuvunja nguvu sauti ya kinabii ya kutetea haki.

Askofu Shoo aliyasema hayo mwishoni mwa wiki mjini Moshi katika kongamano la viongozi wa dini kanda ya kaskazini lililohudhuriwa na viongozi kutoka taasisi mbalimbali za dini akiwemo Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki (TEC), Padre Charles Kitima.
Hajajibu kama kapokea kitita cha Tshs 150 million au la.
 
Mzee Shoo kajingea lkn bado anatoka hadharani kukanusha kuwa hajajinyea.
 
ASKOFU MKUU WA KKKT DAYOSISI YA MOUNT KILIMANJARO, MOSHI AMEJITETEA

Amesema ulikuwa ni mchango wa ujenzi wa kanisa huko Machame, wilaya ya Hai waliomwomba Rais Samia Suluhu. Na ombi la kuomba fedha hiyo liliwasilishwa kwake na Mh. Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA (T)...

Unaweza kumtazama na kumsikiliza mwenyewe kwenye video hii👇🏻

KUHUSU TUHUMA HIZO:
Mmoja ambaye amewapa za uso hawa Maaskofu kuhusu pesa hizo ni mwanasiasa, mwanasheria na mwanaharakati wa haki za binadamu na mazingira Adv. Tundu Lissu na Makamu Mwenyekiti CHADEMA...

Mtazame na msikilize kwenye video hii👇🏻

Wewe unasemaje....?

HEBU JIULIZE MASWALI HAYA:

1. Utetezi wa Askofu tena akiji justify kupokea pesa hizo kwa kutumia maandiko ya Biblia una mashiko..?

2. Huu utetezi wa Askofu huyu wa KKKT kwa ufahamu na maoni yako unaingia akilini kweli...?

3. Viongozi wakuu wa kidini (dini zote) wakiwemo Maaskofu wa makanisa yetu wanapofungua milango ya kufunga ndoa na serikali kwa kupokea vijizawadi toka kwa watawala, watapata wapi ujasiri wa kuwakemea viongozi hawa wanapokengeuka? Ina maana Askofu Freeldrick Shoo hatambui hili kweli...?

4. Na ni wapi ktk Biblia ambapo Yesu Kristo au mitume wa kanisa la kwanza kina Petro, Paulo, Yakobo nk ambao ndio role model wa kanisa la leo waliwahi kupokea pesa kutoka kwa watawala wa serikali wa enzi hizo...?

Karibu kwa mjadala.....
 
Zamani Tulikuwa Tunasimuliwa kwamba Huko Ulaya Watu hawaendi Kanisani.. Tukawa Tunaonq Kama Wanalaana Hivi

Sasa Tushajua Kwanini Wenzetu washaona Haya makanisa Ni UTAPELI TU
 
Wakuu,

Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kiluther Tanzania (KKKT), Askofu Fredirick Shoo amefunguka kwa mara ya kwanza juu ya taarifa alizoziita potofu kuwa amehongwa Sh150 milioni na Rais Samia Suluhu Hassan, akisema ni taarifa zenye lengo la kuvunja nguvu sauti ya kinabii ya kutetea haki.

Askofu Shoo aliyasema hayo mwishoni mwa wiki mjini Moshi katika kongamano la viongozi wa dini kanda ya kaskazini lililohudhuriwa na viongozi kutoka taasisi mbalimbali za dini akiwemo Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki (TEC), Padre Charles Kitima.
Hata akimhonga huyu ni askofu wa chadema. Yeye kikubwa ni pesa na umachame. Siku Mbowe akipigwa chini uenyekiti wa chadema ndio utajua hawa watu.
 
Back
Top Bottom