Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kiluther Tanzania (KKKT), Askofu Fredirick Shoo amefunguka kwa mara ya kwanza juu ya taarifa alizoziita potofu kuwa amehongwa Sh150 milioni na Rais Samia Suluhu Hassan, akisema ni taarifa zenye lengo la kuvunja nguvu sauti ya kinabii ya kutetea haki.
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Askofu Shoo aliyasema hayo mwishoni mwa wiki mjini Moshi katika kongamano la viongozi wa dini kanda ya kaskazini lililohudhuriwa na viongozi kutoka taasisi mbalimbali za dini akiwemo Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki (TEC), Padre Charles Kitima.