Akiongea katika Ibada ya kuwaaga Watumishi wa Dayosisi ya Kati, Singida Majini, amesema Raisi Samia hakuingia madarakani kwa bahati mbaya Bali kwa Mpango wa Mungu.
Amesema Raisi Samia haitaji kufanyiwa uchawa wa kinafki na kampeni za kinafki, maana kuwepo wake ni kwa kibali Cha Mungu mwenyewe.
Alioneshwa kuwa Raisi Samia ataongoza Nchi kwa Vipindi vyote vya kikatiba. Na kwa mkono wake atatenda mambo makubwa pengine kuliko hata viongozi waliomtangulia.