Pre GE2025 Askofu Shoo: Rais Samia ataongoza Nchi kwa Vipindi vyote viwili vya kikatiba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maweeh
Akiongea katika Ibada ya kuwaaga Watumishi wa Dayosisi ya Kati, Singida Majini, amesema Raisi Samia hakuingia madarakani kwa bahati mbaya Bali kwa Mpango wa Mungu.

Amesema Raisi Samia haitaji kufanyiwa uchawa wa kinafki na kampeni za kinafki, maana kuwepo wake ni kwa kibali Cha Mungu mwenyewe.

Alioneshwa kuwa Raisi Samia ataongoza Nchi kwa Vipindi vyote vya kikatiba. Na kwa mkono wake atatenda mambo makubwa pengine kuliko hata viongozi waliomtangulia.
na huyu anataka land rover🙄
 
Lile V8 ulilopewa bado unalo au unataka jingine
 
Umesigina katiba ya Dayosisi ukapewa kipindi cha miaka 6 Bure.
Sasa umeamka na chura kiziwi
 
Akiongea katika Ibada ya kuwaaga Watumishi wa Dayosisi ya Kati, Singida Majini, amesema Raisi Samia hakuingia madarakani kwa bahati mbaya Bali kwa Mpango wa Mungu.

Amesema Raisi Samia haitaji kufanyiwa uchawa wa kinafki na kampeni za kinafki, maana kuwepo wake ni kwa kibali Cha Mungu mwenyewe.

Alioneshwa kuwa Raisi Samia ataongoza Nchi kwa Vipindi vyote vya kikatiba. Na kwa mkono wake atatenda mambo makubwa pengine kuliko hata viongozi waliomtangulia.
Aisee!!!
 
Nakuingia mkono askofu, kutokana na mfumo na utamaduni wetu uliotengenezwa na ccm, labda mambo yalibike sana.
 
Vipindi vitatu vya kikatiba kwa hio mpaka 2035 huko, hiki alichopo ameshikilia tu pale palipoachiwa kwa hio ana vipindi vingine viwili mbele
Nyie machawa mtasababisha machafuko mjiue maana kuna watu umri unakwenda na hawaoni dalili ya kuingia pale.

Ndio maana mmepewa huu ujumbe muache mara moja mambo yenu.
 
Ibada ya kweli iliyobaki ni kusaidia Yatima, wajane, wagane, wazee na wasiojiweza.
 
Maweeh

na huyu anataka land rover🙄
Analo alichangiwa na watu mashuhuri tu..akiwemo mzee wa Anga mwenyewe..Ila Askofu Shoo tangu mwanzo kabisa alionesha kumkubali sana mama..Na ninakumbuka safari za mwanzo mama alienda Moshi akakutana na na Baba askofu na viongozi wengine wa Dayosisi hiyo wakati wakizindua jengo kwenye Hospital ya rufaa KCMC..
Na Kama mtakumbuka vizuri wakati sakata la bandari likiwa la Moto..Askofu Shoo alionesha wazi wazi kumuunga mkono mama kwenye huo mchakato baaada ya kanisa Katoliki kutoa waraka wake ulioleta taharuki kubwa..alihutubia kwenye sherehe ya KKKT kutimiza miaka mia kule Arusha..
Mzee wa Anga et.al kwa Askofu Shoo ni mtu anayemuheshimu sana na sioni mahali ataongea kinyume na Kiongozi wake wa kiroho.
 
Akiongea katika Ibada ya kuwaaga Watumishi wa Dayosisi ya Kati, Singida Majini, amesema Raisi Samia hakuingia madarakani kwa bahati mbaya Bali kwa Mpango wa Mungu.

Amesema Raisi Samia haitaji kufanyiwa uchawa wa kinafki na kampeni za kinafki, maana kuwepo wake ni kwa kibali Cha Mungu mwenyewe.

Alioneshwa kuwa Raisi Samia ataongoza Nchi kwa Vipindi vyote vya kikatiba. Na kwa mkono wake atatenda mambo makubwa pengine kuliko hata viongozi waliomtangulia.
Anasemaje! Kwa sababu gani mpaka ukawa mpango wa Mungu kiongozi afe?
 
Ana maanisha kama kuuza Bandari,mashirika ya umma na mengine makubwa kuliko hats watangulizi wake ikiwemo kuuza ardhi kwa waarabu!!
Kwa maelezo yake anasema kaonyeshwa rais atatenda mambo makubwa kwa mkono wake. Kwahiyo alimaanisha kinyume chake au??
 
Back
Top Bottom