Pre GE2025 Askofu Shoo: Rais Samia ataongoza Nchi kwa Vipindi vyote viwili vya kikatiba

Pre GE2025 Askofu Shoo: Rais Samia ataongoza Nchi kwa Vipindi vyote viwili vya kikatiba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Akiongea katika Ibada ya kuwaaga Watumishi wa Dayosisi ya Kati, Singida Majini, amesema Raisi Samia hakuingia madarakani kwa bahati mbaya Bali kwa Mpango wa Mungu.

Amesema Raisi Samia haitaji kufanyiwa uchawa wa kinafki na kampeni za kinafki, maana kuwepo wake ni kwa kibali Cha Mungu mwenyewe.

Alioneshwa kuwa Raisi Samia ataongoza Nchi kwa Vipindi vyote vya kikatiba. Na kwa mkono wake atatenda mambo makubwa pengine kuliko

sheikh kapewa Range.

Akiongea katika Ibada ya kuwaaga Watumishi wa Dayosisi ya Kati, Singida Majini, amesema Raisi Samia hakuingia madarakani kwa bahati mbaya Bali kwa Mpango wa Mungu.

Amesema Raisi Samia haitaji kufanyiwa uchawa wa kinafki na kampeni za kinafki, maana kuwepo wake ni kwa kibali Cha Mungu mwenyewe.

Alioneshwa kuwa Raisi Samia ataongoza Nchi kwa Vipindi vyote vya kikatiba. Na kwa mkono wake atatenda mambo makubwa pengine kuliko hata viongozi waliomtangulia.
Mme wasahau hao viongoz wa dini ndo walileta hoja n wenyew waanze kulipw mdhahara n serikali. Round hii kampeni mpk makanisani. Na ss wat wa dini tunatak mambo yetu yaende
Kujifany naipinga au kui challenge naona si faidiki. Bora tu niwe chawa kinafki. Hamjaona sheikh kapew Range.😂
 
Vipindi vitatu vya kikatiba kwa hio mpaka 2035 huko, hiki alichopo ameshikilia tu pale palipoachiwa kwa hio ana vipindi vingine viwili mbele
Kasome katiba ya jamuhuri. Akifanikiwa kupata 2025 basi 2030 katiba haitomruhusu kugombea tena.
Kwa kifupi ana awamu moja tu ya kugombea.
 
Unasikitisha askofu kuwa chawa.. itakuwaje kwa mie mkazi wa vijibweni kapuku?!!
 
Akiongea katika Ibada ya kuwaaga Watumishi wa Dayosisi ya Kati, Singida Majini, amesema Raisi Samia hakuingia madarakani kwa bahati mbaya Bali kwa Mpango wa Mungu.

Amesema Raisi Samia haitaji kufanyiwa uchawa wa kinafki na kampeni za kinafki, maana kuwepo wake ni kwa kibali Cha Mungu mwenyewe.

Alioneshwa kuwa Raisi Samia ataongoza Nchi kwa Vipindi vyote vya kikatiba. Na kwa mkono wake atatenda mambo makubwa pengine kuliko hata viongozi waliomtangulia.
Niliwahi kusema amepewa nchi kwa katiba swala lakuongeza tuwaachie wenye jamuhuri yao huku kujikomba kutawaponza mtakapo ambiwa amestaafu yajayo yanafurahisha najuwa wengi hampendi sikia hili ila nani ajuwae?
 
Pale chawa anapopiga mikwara chawa wenzake
 
Tunaviongozi wa dini mambulula.rais ataendelea na uongozi pale tu atakaposhinda uchaguzi Kwa haki na si vinginevyo.
Sasa nani wa kumshinda Samia? Kama Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mnashindwa kuweka mawakala mtawezaje kushinda Urais na Kuongoza Nchi?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kwa hio rasmi anaanza ngwe yake 2025 anaenda kuimalizia 2035 maana hio ya 2021-2025 kamshikia rais aliekuwepo akaenda bado ya kwake 2025 mpaka 2035
Katiba Haisemi Hivyo Mkuu..

Tukianza na Kwanini Mama Samia Alikuwa Rais Tutaenda kwenye Katiba Ya Jamhuri ya Muungano ya mwaka 1977 Ibara ya 37 (5)
Screenshot_20241027_182452_Adobe Acrobat.jpg

Screenshot_20241027_182509_Adobe Acrobat.jpg

Hiyo Hapo Juu Ndo ilifanya Mama Samia Akawa Rais na Sio Kimshikia Magufuli au Kuwa Mbadala wa Magufuli kama unavyosema..

Alikuwa Rais kwa Mujibu wa Katiba yetu Ibara ya 37 Ibara Ndogo ya 5

Sasa Ni Masharti yapi Ya utawala wake na Ataongozaje nchi Tuangalia Katiba hiyo hiyo ibara ya 40(4)
Screenshot_20241027_182321_Adobe Acrobat.jpg

Screenshot_20241027_182350_Adobe Acrobat.jpg

Sasa Sijui Umesoma Hapo.Umeelewa katiba Inavyosema..

Sitaki kuamini maneno ya Yule waziri Kwamba Watanzania Inabidi Kufundishwa katiba Tena kwa Miaka Mitatu maana Hatuijui..

Rais Samia Ameshika Madaraka mwezi wa Tatu mwaka 2021 Mpaka Mwaka 2025 mwezi wa Tatu Itakuwa anatimiza Miaka Minne Madarakani ambapo mpaka sasa ana miaka mitatu na Miezi 5..

Kikatiba Miaka Hiyo Imevuka Ibara ya 40 (4)..

Na Hiyo ndiyo sababu Huu Urais wa Mheshimiwa Samia Ukaitwa Awamu ya Urais kabisa na sio Awamu ya Tano bali ukaitwa Awamu ya Sita..

So kwa mujibu wa Katiba 40(4) Mheshimiwa Samia amebakisha Kipindi kimoja cha Urais tu chenye Miaka 5...
 
Kwa hio rasmi anaanza ngwe yake 2025 anaenda kuimalizia 2035 maana hio ya 2021-2025 kamshikia rais aliekuwepo akaenda bado ya kwake 2025 mpaka 2035
Ngwe ni kuanzia miaka mitatu, inahesabika
 
Ile Aliyopewa kwa sadaka baada ya kustaafu afu aka endelea kushikilia cheo ..mstaafu ana endelea kushika cheo hili baadae arudi kwenye nafasi yake 😅😅makanisa ya ovyo
Hizi sentensi zako hazijalishi.... nimempimia huyo aliyesema Shoo anatamani Range ya sheikh ubwabwa ya milion 20 wakati mwenzie ana LC 300 ya million 600!!
Huko misikitini mkitoa sadaka hata ya sh elf 30 huacha vita mithili ya Afghanstan 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom