Pre GE2025 Askofu Shoo: Rais Samia ataongoza Nchi kwa Vipindi vyote viwili vya kikatiba

Pre GE2025 Askofu Shoo: Rais Samia ataongoza Nchi kwa Vipindi vyote viwili vya kikatiba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Askofu Shoo aseme tu anachokitaka. Kaona shekhe mkuu wa mkoa wa Arusha kapewa na Samia Range Rover mpya kabisa. Sasa anataka naye apewe.
 
Kwa kauli hii kama ni ya kweli basi chawa wote wa mama ni meno yote 32 njee, muwe mnavumilia pia wengime wakisema msiyotaka kuyasikia.
 
Akiongea katika Ibada ya kuwaaga Watumishi wa Dayosisi ya Kati, Singida Majini, amesema Raisi Samia hakuingia madarakani kwa bahati mbaya Bali kwa Mpango wa Mungu.

Amesema Raisi Samia haitaji kufanyiwa uchawa wa kinafki na kampeni za kinafki, maana kuwepo wake ni kwa kibali Cha Mungu mwenyewe.

Alioneshwa kuwa Raisi Samia ataongoza Nchi kwa Vipindi vyote vya kikatiba. Na kwa mkono wake atatenda mambo makubwa pengine kuliko hata viongozi waliomtangulia.
Chawa mwingine huyu 😂
 
Nyie machawa mtasababisha machafuko mjiue maana kuna watu umri unakwenda na hawaoni dalili ya kuingia pale.

Ndio maana mmepewa huu ujumbe muache mara moja mambo yenu.
Vipindi vitatu sasa yupo kwenye kipindi cha kwanza bado ana vipindi viwili mbele kwa hio mpaka 2035 funga mkanda
 
Kwa hio rasmi anaanza ngwe yake 2025 anaenda kuimalizia 2035 maana hio ya 2021-2025 kamshikia rais aliekuwepo akaenda bado ya kwake 2025 mpaka 2035
Nyie hamna mkatabq na Mungu. Subirini muone matendo makuu ya Mungu.
 
Kanisa moja takatifu
KATOLIKI LA MITUME
Jichanganye nwenyewe uko kwengineko.......
 
Show kaandikiwa.script kapewa chini.ya meza na mzee wa guiness world record ya landrover
 
Back
Top Bottom