nditolo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 3,802
- 4,459
TEC ni wanafiki tu wale ni wana ccm tuNasubiri tamko la viongozi wangu wa TEC..naamini ipo misingi na misimamo yao wanayoiamini kuhusu kutoridhika na uongozi wa Jiwe
TEC ni wanafiki tu wale ni wana ccm tuNasubiri tamko la viongozi wangu wa TEC..naamini ipo misingi na misimamo yao wanayoiamini kuhusu kutoridhika na uongozi wa Jiwe
Hapana mkuuWewe ni KKKT kumbe!
Mkuu acha uongo unajivua nguo...ile ilikuwa ni harambee tu hilo Lori la mifuko ya saruji labda alipeleka kwenu...Ukweli utabaki pale tu Viongozi wa dhehebu la wasabato nawapongeza sana kwa hili la kutojihusisha na siasa au kutumiwa na serikali kama madhehebu mfano wa Roman Catholic na IslamicOk.....nakumbuka JPM aliwaletea lori zima la mifuko ya saruji pale magomeni!
TEC wanacheza karata vizuri..intellejensia yao usijifananisha na Hawa wengine wachumia tumbo.TEC ni wanafiki tu wale ni wana ccm tu
Mnafiki tu hana lolote mzee wa WarakaHuyu askofu Shoo hajawahi kabisa kujihusisha na siasa?
Mama Mwingira yuko vizuri sana!Askofu mkuu wa Kanisa la KKKT Dr Shoo amewaasa viongozi wa dini kutojifungamanisha na siasa kwani siasa ni mvhezo mchafu na viongozi wa dini hawapaswi kuwa sehemu ya uovu huo.
Askofu Shoo amefafanua kuwa hata hivyo hiyo haimaanishi viongozi wa dini wakae mbali sana na siasa bali wawe washauri wa kweli na haki.
Askofu Shoo amewataka Watanzania wawasikilize wagombea wote kwa makini na kisha waamue kwa usahihi wanayemchagua.
Naye RC Anna Mghwira wa Kilimanjaro amesema vyombo vya dola vinawatafuta wale wote waliomfanyia vurugu mgombea mmoja huko wilayani Hai na kusema anaamini askofu Shoo amelisikia tukio hilo kwa sababu huko ni eneo lake.
Chanzo: EATV habari!
Maendeleo hayana vyama!
Ebo! Huyu mama vipi? Mtu maarufu kama Tundu Lisu anamuita "mgombea mmoja"? Tafadhali Anna tunakuheshimu.mgombea mmoja
Anaeleweka sanaNinachoshukuru katika habari hizi za siasa dhehebu langu huwa ni nadra sana kukuta likijitokeza sana kujipambanua maana linafahamu mipaka ya dini na mambo ya serikali achilia mbali siasa maana kwa kufanya hivyo lazima utacompromise mambo na hutakuwa huru.
Kwa hiyo Dr yupo sahihi kabisa ingawa sidhani kama ataeleweka.
Wewe hukuliona lori la mifuko ya saruji au wewe ni sabato masalia?!Mkuu acha uongo unajivua nguo...ile ilikuwa ni harambee tu hilo Lori la mifuko ya saruji labda alipeleka kwenu...Ukweli utabaki pale tu Viongozi wa dhehebu la wasabato nawapongeza sana kwa hili la kutojihusisha na siasa au kutumiwa na serikali kama madhehebu mfano wa Roman Catholic na Islamic
Hahahaaaa...... Ile ni lugha ya kiuongozi bwashee!Ebo! Huyu mama vipi? Mtu maarufu kama Tundu Lisu anamuita "mgombea mmoja"? Tafadhali Anna tunakuheshimu.