Askofu Shoo: Yanayotendeka katika nchi hii yanasikitisha, Watanzania pigeni magoti mbele ya Mungu atajibu

Askofu Shoo: Yanayotendeka katika nchi hii yanasikitisha, Watanzania pigeni magoti mbele ya Mungu atajibu

Pale anayetoaga visenti anapoguswa. Ni mtu mwenye double standard sana. Na huwa haziki maskini hata siku moja hanaga muda huo.

Sasa yeye akizika hao maskini ww utazika nini?
 
Amina.

Tobaaaa watanzaniaaa, tobaaa kwanza Mungu atatuvusha tukirejea mikononi mwake.
 
hivi huyu hayupo kwenye chama kile cha TEC? Kama yupo wakipewaga mualiko wanaongeaga nini na maRais, au ndo wanaishia kuombea amani tu? Maana sielewagi mtu mwenye kum-face almost Rais atleast mara mbili kwa mwaka anakuja kutulalamikia tena sisi raia wa kawaida
Unataka akimface nawe umsikie ?!
Uwe unaambatana nae
 
Mi ni baba yangu wa kiroho lakini wengi wana dabo standadi, lakini jueni ukweli mmoja tu hawa mimi ndiyo wamenilea wenyewe zaidi huwa wanamjali mtu anaeleta sadaka zaidi. Awaangalii kabila wa dini.
 
Pale anayetoaga visenti anapoguswa. Ni mtu mwenye double standard sana. Na huwa haziki maskini hata siku moja hanaga muda huo.
Umaskini ni laana na sio Jambo la kujivunia
 
Back
Top Bottom