Ni bampa to bampa halipoi wakiweka ugoko linaweka chuma.Kizimkazi na wachawi wenzake wamenuna.
Wajaribu kuwagusa wamuone Trump anavyowajia.Kizimkazi na wachawi wenzake wamenuna.
Naunga mkono hoja, hili ndilo kanisa Bwana wetu Yesu Kristu alimwambia Mtume Petro, "Wewe ni mwamba, na juu ya mwamba huu, nalijenga kanisa langu"Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Mhashamu Stephano Lameck Musomba, amesema, Waumini wa Kanisa Katoliki wana kila sababu ya kujivunia ukatoliki wao bila kuyumbishwa au kutishwa na mtu yeyote yule.
Amesema, Kanisa Katoliki limeendelea kusimama imara kwa sababu ni Kanisa lililojengwa juu ya mwamba wa Kristo mwenyewe na si la binadamu.
View attachment 3524264
Na hakuna taasisi wala mtu anayeweza kuitisha wala kuipa masharti Tanzania juu ya nini kifanywe au nani awepo katika uongozi au kuondoka.Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Mhashamu Stephano Lameck Musomba, amesema, Waumini wa Kanisa Katoliki wana kila sababu ya kujivunia ukatoliki wao bila kuyumbishwa au kutishwa na mtu yeyote yule.
Amesema, Kanisa Katoliki limeendelea kusimama imara kwa sababu ni Kanisa lililojengwa juu ya mwamba wa Kristo mwenyewe na si la binadamu.
View attachment 3524264
"....mimi nilielezwa alipewa kibali cha urais wa mpito tuu" ni kwamuujibu wa katiba au ni matakwa ya watu fulani au taasisi ya Kikatoliki? Kama ni kwa matakwa ya taasisi fulani au kikundi fulani cha watu, kuna haja gani ya kudai katiba mpya, kwani kwa mtindo huu katiba itakuwa ni karatasi la chooni tu.Na kwa taarifa yako, Rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe ni Mkatoliki, tena wengi msichokijua, msiwe na wasiwasi kabisa na urais wa Rais Samia, mimi nilielezwa alipewa kibali cha urais wa mpito tuu, lakini rais mwenyewe anayepaswa to run this country this time around, ni yule Mkatoliki!,
Kwahiyo mwambie rafiki yako Msigwa na Mwigulu kuwa wanajaribu kusukuma mwamba uliowekwa na Yesu wataweza?Naunga mkono hoja, hili ndilo kanisa Bwana wetu Yesu Kristu alimwambia Mtume Petro, "Wewe ni mwamba, na juu ya mwamba huu, nalijenga kanisa langu"
Hivyo Bwana Wetu Yesu Kristu aliacha Kanisa moja tuu, kanisa Kuu, Takatifu Katoliki la Mitume , ila siku hizi kuna makanisa mengi, vikanisa na vijikanisa, ila kanisa kwa maana ya kanisa, ni moja tuu, kanisa Katoliki. Kuna Makanisa na Makanisa Kuanzia Makanisa,Vikanisa,Kikanisa na Vijikanisa!, Je Makanisa Yote Yanaweza Kufungiwa?au Vikanisa, Vijikanisa na Kikanisa?
Hili tumelisema humu GE2025 - Kanisa Katoliki Tanzania: Mkombozi wa Kweli wa Taifa. Leo tumefunga Novena; Tunakesha na Kuomba, kuiombea Tanzania - A Very Powerful Prayer!
Na kwa taarifa yako, Rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe ni Mkatoliki, tena wengi msichokijua, msiwe na wasiwasi kabisa na urais wa Rais Samia, mimi nilielezwa alipewa kibali cha urais wa mpito tuu, lakini rais mwenyewe anayepaswa to run this country this time around, ni yule Mkatoliki!, but only if kama HII sauti ni sauti ya kweli , then muda huo unakaribia kutimia!.
P