Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari,shetani ana nguvu,kuliko maelezo.Huyu TD JAKES Kuna fununu za chini chini huwa anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja, na inasemekana Mwanamuziki P DIDY kashawahi kumuingilia kinyume na maumbile
Mapenzi na utamu wake, yana run dunia.Askofu TD Jakes ambaye amemtumikia Mungu kwa miongo mingi amejiuzulu kwa madai ya kuwa na mahusiano na mmoja wa waumini wa kanisa lake.
View attachment 2971487
View attachment 2971488
Source:
www.facebook.com
Your source?
Au nawe una uzoefu?
Ponda kichwa kabisaaingawa ina fahamika .. hayo mambo yapo nchi za kiarabu.
mfano hapa kwetu Tanzania..
ni Zanzibar na ukanda wa pwani .. kwa Kenya ni Mombasa..
TD Jakes amekiri kwa fanilia yake hususan mkewe kwamba alikuwa na mahusiano na mwanamke mmoja wa kanisa analoliongoza.Kuwa mkweli, ajisafishe kwa kukubali kuwa ni shoga?
Ni uongo wa mitandaoni wa vikitandao vidogo vidogo vile vya wale watafuta viewers wengi.Hajajiuzulu TD Jakes Yuko anachapa kazi kama kawaidaAskofu TD Jakes ambaye amemtumikia Mungu kwa miongo mingi amejiuzulu kwa madai ya kuwa na mahusiano na mmoja wa waumini wa kanisa lake.
View attachment 2971487
View attachment 2971488
Source:
www.facebook.com
ingawa ina fahamika .. hayo mambo yapo nchi za kiarabu.
mfano hapa kwetu Tanzania..
ni Zanzibar na ukanda wa pwani .. kwa Kenya ni Mombasa.