Askofu TD Jakes ajiuzulu baada ya kashfa ya kutembea na muumini wake....

Askofu TD Jakes ajiuzulu baada ya kashfa ya kutembea na muumini wake....

Askofu TD Jakes ambaye amemtumikia Mungu kwa miongo mingi amejiuzulu kwa madai ya kuwa na mahusiano na mmoja wa waumini wa kanisa lake.

View attachment 2971487

View attachment 2971488

Source:
Hatumfahamu na ana umuhimu gani kwetu. Zungumzia watu waogusa maisha yetu siyo mapoyoyo matapeli. Mtu wa kwanza kwetu ni Samia Suluhu Hassan na wengine wanajulikana. Matapeli km Mwamposa, Gio Davie, Mzee wa Upako, Kakobe, Gwajima anaewafuatilia ni mazombie wenzie
 
Huyu TD JAKES Kuna fununu za chini chini huwa anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja, na inasemekana Mwanamuziki P DIDY kashawahi kumuingilia kinyume na maumbile
736929d1a0739091208253ae5f27d46f.jpg
 
Hatumfahamu na ana umuhimu gani kwetu. Zungumzia watu waogusa maisha yetu siyo mapoyoyo matapeli. Mtu wa kwanza kwetu ni Samia Suluhu Hassan na wengine wanajulikana. Matapeli km Mwamposa, Gio Davie, Mzee wa Upako, Kakobe, Gwajima anaewafuatilia ni mazombie wenzie
Kama humfahamu, ni vizuri ukamuulizia ni nani na wasifu wake...
 
Back
Top Bottom