Inafikilisha sana
Yaani mwanaume mmoja Tajiri na mwenye mvuto kwa wanawake anakuwa na uhusiano na wanaume wenzake wakati kuna mamia ya wanawake wanamgombea.
Cha ajabu zaidi anatembea na wanaumme matajiri au wanaotaka kuwa matajiri.
Wafanyakazi wake wanadai kuwa watu kadhaa wenye mafanikio makubwa Duniani akiwemo huyu mtume, Rais mstaafu wa nchi kubwa, mwanamziki tajiri zaidi duniani, Bondia aliyewahi mng'ata mpinzani wake, star wa bongo, star wa Nigeria na wangine wengi wamekuwa wakifika katika jumba la huyo star kwa minajiri ya kujamiiana naye. Jamaa ana ushetani flani hivi.
Mamlaka za Marekani zinatafuta upenyo wa kisheria wa kumbana jamaa kwani wengi walienda kwa hiari. Nahisi watampa kesi ya kuwaingilia watoto ili kumtia hatiani.
Awali ilizaniwa sababu ni kupenda tu aina hiyo ya mahusiano, lakini inaonekana ni sharti la kiimani katika imani ambayo wanaamini.
Kama Uwoya anavyowaasa vijana, Msitamani utajiri wa ngekewa. Utajiri halali unatokana na juhudu, ubunifu, hard-work na mipango.
Mungu atusaidie na kutunusuru