Askofu TD Jakes ajiuzulu baada ya kashfa ya kutembea na muumini wake....

Kama ni hivyo bwana NASIBU hakutoka salama 🤔
 
Kilichoandikwa hapa sidhani kama kuna mtu anaweza kukielewa, mwandishi kafika la nne kweli!!?
 
Hakusema mwanamke. Usizuwe.

Isikilize video ya pili.
 
Kwa hiyo kuna vitabu tumevisoma kuwa Mtume SAW, alikuwa peodophile, inatosha?
 
Kama kuna vijana wanataka kujiunga kwenye ushirikina na kuwa tayari kufanya sharti lolote la kishetani watashindwa nini kutoa tigo ili wapate fedha/utajiri wa harakaharaka? Watabunyuliwa tu ili wapate fedha na utajiri wa harakaharaka
 
KACHOMWAA NA MWANAE NA KACONFIRM RUMOURS N ZA KWELI...MMH KAZIIPOO HIZIDINI NA INASEMEKANA ALIJIPANHA KULIPA WATU HIZI KELELE ZISITOKEE SIIJUI NAE ATAKIMBIA

YAAN HAWA MABLAK WAFIRAJ SANAA PDIDY..HUYUTENA NA YULE RAPA R KELLY DAH
 
Mmmh napitaatuuu
 

Attachments

  • images (5).jpeg
    9.6 KB · Views: 5
  • images (4).jpeg
    33.6 KB · Views: 5
  • images (3).jpeg
    12.9 KB · Views: 4
  • images (2).jpeg
    15.3 KB · Views: 5
  • images (1).jpeg
    28.5 KB · Views: 5
  • images.jpg
    33.6 KB · Views: 5
  • images.jpeg
    11.6 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…