Traveller X
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 271
- 305
Diamond hiyo X6. Alipewa na yule bwana ake Lulu. Aliekufa kwa kukatwa na meza ya kioo.na mpaka naandika uzi huu deni ajamaliza mke wa marehemu Daimond apokei ata simu yake!So jua kuwa Diamond ni kanjanja tu anaishi kwa kuunga ungaWazee nimepita sehemu nikakuta haters wa Diamond wanasifia kishenzi kwamba asley kanunua gari kali kuliko msanii yoyote hapa bongo, Sasa mi hua sipendi ujinga nikaingia chimbo nikafanya upelelezi wangu nikagundua kumbe ile X3 ya Asley hata Millioni 100 haijafika bana, wakati huo kaka wa bongoflavor Diamond X6 yake inagonga 130 Millioni....Nimeamini kweli hapa bongo ukishakua namafanikio tu basi haters watakuwinda kama traffic wa posta,
Cheki mashine hii....
Sasa kama alipewa iweje hajamalizia deni. .?Diamond hiyo X6. Alipewa na yule bwana ake Lulu. Aliekufa kwa kukatwa na meza ya kioo.na mpaka naandika uzi huu deni ajamaliza mke wa marehemu Daimond apokei ata simu yake!So jua kuwa Diamond ni kanjanja tu anaishi kwa kuunga unga
Ngoja nifanye tadhimini...
Mmmmh au nawewe tufukue nyuzi zako tuone huwa unaandika nini [emoji 17][emoji16][emoji17]Kuna nyuzi moja ilisemaga wanaume wengi wa jf wanaandika upuuzi ni kweli
Nisahihishe mkuu
According to Mange na unaandika as if una uhakika.Diamond hiyo X6. Alipewa na yule bwana ake Lulu. Aliekufa kwa kukatwa na meza ya kioo.na mpaka naandika uzi huu deni ajamaliza mke wa marehemu Daimond apokei ata simu yake!So jua kuwa Diamond ni kanjanja tu anaishi kwa kuunga unga