Aslay BMW vs. Diamond BMW

Aslay BMW vs. Diamond BMW

Traveller X

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2017
Posts
271
Reaction score
305
Wazee nimepita sehemu nikakuta haters wa Diamond wanasifia kishenzi kwamba Asley kanunua gari kali kuliko msanii yoyote hapa bongo,

Sasa mimi huwa sipendi ujinga nikaingia chimbo nikafanya upelelezi wangu nikagundua kumbe ile X3 ya Asley hata Millioni 100 haijafika bana, wakati huo kaka wa bongoflavor Diamond X6 yake inagonga 130 Millioni....

Nimeamini kweli hapa bongo ukishakua namafanikio tu basi haters watakuwinda kama traffic wa posta,

Cheki mashine hii....
 
achana na hao haters ambao asubuhi wakiamka wanagombania losheni na dada zao.

badala y kupambana wamiliki hata boxer bm150 kutwa kwa fundi simu kubadilisha screenprotector kwenye vi tecno vyao ili washinde instagram na fb kupiga umbea
 
Ngoja na mimi nijichange one day nijemilik BMW hata yakizaman cyo kila siku wao tuy
 
  • Thanks
Reactions: CTX
Wazee nimepita sehemu nikakuta haters wa Diamond wanasifia kishenzi kwamba asley kanunua gari kali kuliko msanii yoyote hapa bongo, Sasa mi hua sipendi ujinga nikaingia chimbo nikafanya upelelezi wangu nikagundua kumbe ile X3 ya Asley hata Millioni 100 haijafika bana, wakati huo kaka wa bongoflavor Diamond X6 yake inagonga 130 Millioni....Nimeamini kweli hapa bongo ukishakua namafanikio tu basi haters watakuwinda kama traffic wa posta,

Cheki mashine hii....

Diamond hiyo X6. Alipewa na yule bwana ake Lulu. Aliekufa kwa kukatwa na meza ya kioo.na mpaka naandika uzi huu deni ajamaliza mke wa marehemu Daimond apokei ata simu yake!So jua kuwa Diamond ni kanjanja tu anaishi kwa kuunga unga
 
Izo bmw ni za mwaka gan? Coz izo bei unazoweka ni bmw mpya na hawa ndugu zetu zao ni used hawana huwezo wa kununua brand new, so iyo figure ni kubwa sana mkuu
 
Diamond hiyo X6. Alipewa na yule bwana ake Lulu. Aliekufa kwa kukatwa na meza ya kioo.na mpaka naandika uzi huu deni ajamaliza mke wa marehemu Daimond apokei ata simu yake!So jua kuwa Diamond ni kanjanja tu anaishi kwa kuunga unga
Sasa kama alipewa iweje hajamalizia deni. .?
Kuna tofauti ya kupewa na kulinunua.
Acha chuki za kijinga utazeeka mapema boss
 
BE FORWARD : 2008 BMW X6
Angalia bei ni $21,000 for x6

BE FORWARD : 2004 BMW X3
Angalia bei ya x3 ni $3,870

Hapo ukiweka na ushuri ni kama mara mbili ya ela kwa hesabu ya haraka haraka bt haiwezi fika

Watu wananunua mgari used wanatusumbua tu hapa mjin sasa ilo bmw used si kimeo coz izo gari bora ununue mpya coz zinasumbua sana zikichoka coz ni umeme tu bora ununua prado yako sparw bei poa
 
Kuna nyuzi moja ilisemaga wanaume wengi wa jf wanaandika upuuzi ni kweli
Mmmmh au nawewe tufukue nyuzi zako tuone huwa unaandika nini [emoji 17][emoji16][emoji17]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kiswahili cha wapi hichi kinjubai..?
Nisahihishe mkuu
images
 
Diamond hiyo X6. Alipewa na yule bwana ake Lulu. Aliekufa kwa kukatwa na meza ya kioo.na mpaka naandika uzi huu deni ajamaliza mke wa marehemu Daimond apokei ata simu yake!So jua kuwa Diamond ni kanjanja tu anaishi kwa kuunga unga
According to Mange na unaandika as if una uhakika.
Watanzania bwana... source yako ni lini aliwahi sifia chochote toka kwa mond.
Huyo mke wa Marehemu anakobidi aende ili apate haki yake hapajui kama ni kweli?
Ya kuambiwa changanya na ya kwako
 
Back
Top Bottom