Aslay BMW vs. Diamond BMW

Aslay BMW vs. Diamond BMW

Sasa wewe unaweka BMW X6 ya mwaka 2017 afu unaweka na ya domo ya mwaka 2007 au 8 kama sikosei afu unalinganisha bei?! Jifunze kwanza kutofautisha mwaka wa gari na bei yake afu ndio uje hapa. Ushamba mzigo kweli
 
Hizo zote zipo bongo kama unataka chukua kitu Ferrari 458 Italia
Sasa Ferrari na hizi barabara za kibongo utaipitisha wapi mkuu?! Labda uwe unazungukia masaki, obay na baadhi ya mitaa ya posta na Upanga
 
Sasa Ferrari na hizi barabara za kibongo utaipitisha wapi mkuu?! Labda uwe unazungukia masaki, obay na baadhi ya mitaa ya posta na Upanga
Ferrari kidogo ina afadhali bongo kuliko Lambor..
 
achana na hao haters ambao asubuhi wakiamka wanagombania losheni na dada zao.

badala y kupambana wamiliki hata boxer bm150 kutwa kwa fundi simu kubadilisha screenprotector kwenye vi tecno vyao ili washinde instagram na fb kupiga umbea
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Hawatarudi tena humu.
 
Sasa Ferrari na hizi barabara za kibongo utaipitisha wapi mkuu?! Labda uwe unazungukia masaki, obay na baadhi ya mitaa ya posta na Upanga
Sasa mkuu ulitegemea Ferrari ukazurule nayo Bonyokwa unatafuta nini. Hizo ferrari,lambo,maserati zipo mjini Dar hapo.
 
Izo bmw ni za mwaka gan? Coz izo bei unazoweka ni bmw mpya na hawa ndugu zetu zao ni used hawana huwezo wa kununua brand new, so iyo figure ni kubwa sana mkuu

Jina mxenge kapita na BMW nyeusi hapa Mawasiliano ubungo Qmamake nimepata hasira.
 
Back
Top Bottom