true! watanzania ni kama hatuwezi kusifia bila kulinganisha vitu au watuAsilimia 90% za bifu la wasanii zinatokana na mashabiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
true! watanzania ni kama hatuwezi kusifia bila kulinganisha vitu au watuAsilimia 90% za bifu la wasanii zinatokana na mashabiki
Lamboghine kwa barabara za Tz ni kujipa stress, utaishia liweka ndani tuu!!...Au mwambie achkue lamborghin
Sasa Ferrari na hizi barabara za kibongo utaipitisha wapi mkuu?! Labda uwe unazungukia masaki, obay na baadhi ya mitaa ya posta na UpangaHizo zote zipo bongo kama unataka chukua kitu Ferrari 458 Italia
Ferrari kidogo ina afadhali bongo kuliko Lambor..Sasa Ferrari na hizi barabara za kibongo utaipitisha wapi mkuu?! Labda uwe unazungukia masaki, obay na baadhi ya mitaa ya posta na Upanga
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Hawatarudi tena humu.achana na hao haters ambao asubuhi wakiamka wanagombania losheni na dada zao.
badala y kupambana wamiliki hata boxer bm150 kutwa kwa fundi simu kubadilisha screenprotector kwenye vi tecno vyao ili washinde instagram na fb kupiga umbea
Sasa mkuu ulitegemea Ferrari ukazurule nayo Bonyokwa unatafuta nini. Hizo ferrari,lambo,maserati zipo mjini Dar hapo.Sasa Ferrari na hizi barabara za kibongo utaipitisha wapi mkuu?! Labda uwe unazungukia masaki, obay na baadhi ya mitaa ya posta na Upanga
Izo bmw ni za mwaka gan? Coz izo bei unazoweka ni bmw mpya na hawa ndugu zetu zao ni used hawana huwezo wa kununua brand new, so iyo figure ni kubwa sana mkuu
Sasa mkuu ulitegemea Ferrari ukazurule nayo Bonyokwa unatafuta nini. Hizo ferrari,lambo,maserati zipo mjini Dar hapo.