Aslay BMW vs. Diamond BMW

Aslay BMW vs. Diamond BMW

X6 gari imekaa kama mgongo wa kobe haina mvuto.

Nilikuwa naifikiria kuchukua hiyo, lakini nachukus Porsche Macan GTS.

Kuna msanii wa Bongofleva anayo hiyo?

Kama yupo niambieni nihamie kwenye G-Wagon.
 
Hii inawahusu wanaume wa Dar huko sisi wa mikoani ni maguta tu msitusumbue
 
X6 gari imekaa kama mgongo wa kobe haina mvuto.

Nilikuwa naifikiria kuchukua hiyo, lakini nachukus Porsche Macan GTS.

Kuna msanii wa Bongofleva anayo hiyo?

Kama yupo niambieni nihamie kwenye G-Wagon.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Nisahihishe mkuu
images
Tathmini
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
BMW wanazotambia ma star wa bongo hata kumnunulia Bi. Zuhra naona sasa anahitaji upgrade.

Maana isije siku tukabadilishana magari nikawa naendesha BMW kamaya Bongofleva.

Hawakawii kuja na Hummer ya Orange kama Raila hawa wasivyo na akili nzuri.
 
Diamond hiyo X6. Alipewa na yule bwana ake Lulu. Aliekufa kwa kukatwa na meza ya kioo.na mpaka naandika uzi huu deni ajamaliza mke wa marehemu Daimond apokei ata simu yake!So jua kuwa Diamond ni kanjanja tu anaishi kwa kuunga unga
Story za Mange Kimambi zishakuharbu wewe.
 
X6 gari imekaa kama mgongo wa kobe haina mvuto.

Nilikuwa naifikiria kuchukua hiyo, lakini nachukus Porsche Macan GTS.

Kuna msanii wa Bongofleva anayo hiyo?

Kama yupo niambieni nihamie kwenye G-Wagon.
Hizo zote zipo bongo kama unataka chukua kitu Ferrari 458 Italia
 
achana na hao haters ambao asubuhi wakiamka wanagombania losheni na dada zao.

badala y kupambana wamiliki hata boxer bm150 kutwa kwa fundi simu kubadilisha screenprotector kwenye vi tecno vyao ili washinde instagram na fb kupiga umbea
Hahahahaaaaa hahaaaa ka ukweli kachunguuu
 
Hizo zote zipo bongo kama unataka chukua kitu Ferrari 458 Italia
Sijaongelea kuwepo Bongo, stable ya Bakhresa nimeiona.

Nimeongelea Bongofleva.

Ferrari risks putting me in the "midlife crisis" category.
 
Chkua lamborghin mkuu
"I Lambo Gallard it. I am vehically challenged. That means the car is retarded. But regardless..." -Fabulous.

Nilivyokuwa mdogo nilikuwa na papara ya kusoma vitabu vya business advise vya baba yangu vilivyonipita kimo (nilikuwa na miakakama 14-15).

Kuna kimoja cha Harvey Mackay kinaitwa "Swim With The Sharks Without Being Eaten Alive"

Mengi nimesahau, miaka mingi sasa, lakini ushauri wake mmoja siusahau.

Aliandika, nunua nyumba za bei mbaya na magari ya bei nafuu.

61cxqOLy14L._SX258_BO1,204,203,200_.jpg
 
Diamond hiyo X6. Alipewa na yule bwana ake Lulu. Aliekufa kwa kukatwa na meza ya kioo.na mpaka naandika uzi huu deni ajamaliza mke wa marehemu Daimond apokei ata simu yake!So jua kuwa Diamond ni kanjanja tu anaishi kwa kuunga unga
Nenda kapewe na wewe!
 
Back
Top Bottom