Aslay hizi sasa sifa zimezidi kipimo

Aslay hizi sasa sifa zimezidi kipimo

Habari za mchana wana Jf , mm binafsi ni shabiki mkubwa wa nyimbo za dogo aslay ukweli ni kwamba dogo anajitahidi . Ila kilonifanya niandike hii thread kuna wimbo wa aslay umetoka sijui kautoa mwenyewe au umevuja au VP maana wimbo wenyewe una verse moja tu lkn mashairi ya wimbo huo hayajawafurahisha wanawake wengi ikiwemo Mimi .
Ni wimbo ambao unamdhalilisha mwanamke huyu do go anapaswa atambue kwamba mashabiki wa mziki wake wengi ni wanawake .hata kama umeachana na mwanamke huwez kumtolea matusi kama ya kwenye wimbo wa aslay . so aslay kama umo humu Jf acha kudhalilisha wanawake ambao ndo mashabiki zako wakubwa including Ray 4 real.
Baadhi ya mashairi katika huo wimbo;[emoji116]

Kiuno kizito kama engine ya fuso ,
Hauna lolote kitandani yaani upopo,
Unashindwa hata kufua vichupi vyako,
Unanuka jasho makwapani kama choo cha soko..

Hayo ni baadhi ya mashairi kwa kweli hayajatufurahisha wanawake na ni udhalilishaji
So aslay if u are also in Jf na ukasoma hii thread ujue umetudsappoint 90% ya wanawake Tz. Yangu ni hayo sema nimeshindwa kuapload hiyo audio.
Aslay ndio Nani kwani
 
Mpaka hapo alipofikia Asley bado hajamsogelea Chid Benz wa wakati huo, Chid B aliwahi kumkunja tai Pro Jay kisa kiburi cha umaarufu leo hii anaishi kwa msaada wa sembe, Joseph Haule anatafunia kivulini. Tumpe muda atajua kuheshimu na kuishi na binadamu wenzake.
 
Wanawake acheni kugegedwa kila kukicha na wanaume mixa mixa..


Ndio maana mnaambiwa mnanuka kisa mishawaha ya madume wengine wanakunywa matap tap unategemea nini?

Ogeni, tunzeni nyuchi zenu
 
HV mkuu unaamini kila akichokiimba aslay ni ukweli hakuna mwanamke anaweza kuwa na sifa mbaya zote hizo ndo maana mm nimesema ni udhalilishaji .et kuna watu wananuka makwapa kama wanaume jamani tena unamkuta mwanaume mzur kapendez akuhug sasa hicho kikwapa c cha nchi hii tena vitandani ndo kabisa wengine ni ziro
Kweli mkuu c unajua nyani haoni......., afu kwa upande wao iko hivi kunya anye kuku akinya bata basi kaharisha.. wanaume hawapend kukosolewa jmn cjui wakoje hata
 
Kweli mkuu c unajua nyani haoni......., afu kwa upande wao iko hivi kunya anye kuku akinya bata basi kaharisha.. wanaume hawapend kukosolewa jmn cjui wakoje hata
Hawapendi kukosolewa wakati wameoza kabisa huo mnuko wao c wa nchi hii
 
Hili jambo la usafi limepigiwa kelele sana humu.. asante Aslay kwa kuwakumbusha
Aslay hapo mwenyewe alipo ukute ananuka vikwapa hatari maana kikwapa ni janga kwa wanaume wengi tz
 
Wanawake acheni kugegedwa kila kukicha na wanaume mixa mixa..


Ndio maana mnaambiwa mnanuka kisa mishawaha ya madume wengine wanakunywa matap tap unategemea nini?

Ogeni, tunzeni nyuchi zenu
Wagegedwaji wamekusikia
 
Back
Top Bottom