Ray 4 real
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 801
- 764
- Thread starter
- #61
Nahis Dada zako, mashangazi , mama kuna mmoja umemchomaaisee nilijua tu huu wimbo utawachoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahis Dada zako, mashangazi , mama kuna mmoja umemchomaaisee nilijua tu huu wimbo utawachoma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kulalamika, legeza kiuno hicho.
Kuna wenzako wanapenda harufu za kibeberu! Akikutana na anayenukia perfume muda wote anajua ni mtoto wa mama na kwamba shughuli haiwezi! Wewe uliwahi kukutana na mwenye kunukia kibeberu?Kwahiyo umekubali kwamba mnatema kama beberu?? Hiyo ni moja ya kero kubwa sana vikwapa kunuka
Aslay ndio Nani kwaniHabari za mchana wana Jf , mm binafsi ni shabiki mkubwa wa nyimbo za dogo aslay ukweli ni kwamba dogo anajitahidi . Ila kilonifanya niandike hii thread kuna wimbo wa aslay umetoka sijui kautoa mwenyewe au umevuja au VP maana wimbo wenyewe una verse moja tu lkn mashairi ya wimbo huo hayajawafurahisha wanawake wengi ikiwemo Mimi .
Ni wimbo ambao unamdhalilisha mwanamke huyu do go anapaswa atambue kwamba mashabiki wa mziki wake wengi ni wanawake .hata kama umeachana na mwanamke huwez kumtolea matusi kama ya kwenye wimbo wa aslay . so aslay kama umo humu Jf acha kudhalilisha wanawake ambao ndo mashabiki zako wakubwa including Ray 4 real.
Baadhi ya mashairi katika huo wimbo;[emoji116]
Kiuno kizito kama engine ya fuso ,
Hauna lolote kitandani yaani upopo,
Unashindwa hata kufua vichupi vyako,
Unanuka jasho makwapani kama choo cha soko..
Hayo ni baadhi ya mashairi kwa kweli hayajatufurahisha wanawake na ni udhalilishaji
So aslay if u are also in Jf na ukasoma hii thread ujue umetudsappoint 90% ya wanawake Tz. Yangu ni hayo sema nimeshindwa kuapload hiyo audio.
kama ana kiuno kizito kama injini ya fuso inamuhusuNahis Dada zako, mashangazi , mama kuna mmoja umemchoma
Kweli mkuu c unajua nyani haoni......., afu kwa upande wao iko hivi kunya anye kuku akinya bata basi kaharisha.. wanaume hawapend kukosolewa jmn cjui wakoje hataHV mkuu unaamini kila akichokiimba aslay ni ukweli hakuna mwanamke anaweza kuwa na sifa mbaya zote hizo ndo maana mm nimesema ni udhalilishaji .et kuna watu wananuka makwapa kama wanaume jamani tena unamkuta mwanaume mzur kapendez akuhug sasa hicho kikwapa c cha nchi hii tena vitandani ndo kabisa wengine ni ziro
[emoji23] [emoji23] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23]huwa mnatusema hatufui boxer kuimbwa kidogo tu mnaanzisha Uzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jitahidi kuwa msafi basi
Hawapendi kukosolewa wakati wameoza kabisa huo mnuko wao c wa nchi hiiKweli mkuu c unajua nyani haoni......., afu kwa upande wao iko hivi kunya anye kuku akinya bata basi kaharisha.. wanaume hawapend kukosolewa jmn cjui wakoje hata
Aslay hapo mwenyewe alipo ukute ananuka vikwapa hatari maana kikwapa ni janga kwa wanaume wengi tzHili jambo la usafi limepigiwa kelele sana humu.. asante Aslay kwa kuwakumbusha
Wagegedwaji wamekusikiaWanawake acheni kugegedwa kila kukicha na wanaume mixa mixa..
Ndio maana mnaambiwa mnanuka kisa mishawaha ya madume wengine wanakunywa matap tap unategemea nini?
Ogeni, tunzeni nyuchi zenu