Aslay kuwa na shoo ya watu 100 Sababu ni nini?

Kawaida tu,show nyingi za huko zipo hivyo sema hao wanaojaza ukumbi either huwa wanatumia ukumbi mdogo au wanasubiria dakika za mwisho wanapunguza bei za kiingilio na mwisho watu wanaingia bure,picha mwaaa hewani full masifa wamejaza ukumbi.

Aslay hata mikoani bado panalipa akuje tu
hahahahha
ivi kwanini vijana wanakimbilia LONDON skuhizi? kuna nini?
 
now thats what i call London , achukue hyo na ajifunze kitu, kuna lesson ipo hapo kama ni smart ameelewa

KAABAD THE GREATEST
me bado nauliza LONDON imeficha nini mbona wasanii wengi wanadondoka huku?
 
Kawaida tu,show nyingi za huko zipo hivyo sema hao wanaojaza ukumbi either huwa wanatumia ukumbi mdogo au wanasubiria dakika za mwisho wanapunguza bei za kiingilio na mwisho watu wanaingia bure,picha mwaaa hewani full masifa wamejaza ukumbi.

Aslay hata mikoani bado panalipa akuje tu
hahahaha
 
Back
Top Bottom