Aslay kuwa na shoo ya watu 100 Sababu ni nini?

Wasanii wengi kama siyo wote wanaoenda kufanya show ulaya au marekani wanafanyia kwenye vi ukumbi vidoogo vya watu kama 100-200 na wanaohudhuria ni wenyeji wa hukuhuku.
Sababu ni kutojulikana
hataree
kwani si wanajitangaza lkn au?
 
Aslay jamani, show yake haikujaa tatizo ni nini sasa ni promo au? mbona ray c hakuja ku-perform?

Wabongo wabishi tu....bongo fleva haina soko nje ya nchi japo wanalazimisha sana kuwapa chati wasainii wao. Peleka bendi ya maana inayopiga muziki live utaona watu watakavyojazana. Watu wanapenda vitu vya ukweli si hizi Big G za computer.
 
Point alishawahi kuja Jay Dee UK kaweka CD mashabiki wakamshusha kwa kumuambia hata sisi CD tunazo home
 
Aslay jamani, show yake haikujaa tatizo ni nini sasa ni promo au? mbona ray c hakuja ku-perform?

Akiishi kwa kigezo cha kuwa na talent tu hatofika mbali.Watu walio ktk inner cycle yake inabidi wamkumbushe kuwa mbali na talent mziki ni business. Serious business!
 
Sauwa boss
 
Back
Top Bottom