Aslay kuwa na shoo ya watu 100 Sababu ni nini?

Kikubwa kalipwa pesa yake, hata kama wangekua watu wawili na masai mmoja, kikubwa mpunga kauvuta hayo mengine mtajiju.

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
 
Ana jipya lipi...

Kajimaliza mwenyewe..

Huwezi ukaachia ngoma kila siku watu wasikuchoke.

Kashaishiwa. Mapema kabisa.
Hili la kuachia ngoma kila siku nilishawahi kumwambia mtu wake wa karibu amshauri ila nadhani imekua too late... inabidi akaze sana kurudi kileleni

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
 
Hili la kuachia ngoma kila siku nilishawahi kumwambia mtu wake wa karibu amshauri ila nadhani imekua too late... inabidi akaze sana kurudi kileleni

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
doh!
 
Kikubwa kalipwa pesa yake, hata kama wangekua watu wawili na masai mmoja, kikubwa mpunga kauvuta hayo mengine mtajiju.

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
hahahahah Mmasai! ahahahahha
 
Inawezekana walitumia nguvu ndogo katika kuitangaza hii show;wangejua ya kuwa tumia pesa upate pesa nadhani ukumbi ungejaa,tatizo linaweza kuwa uongozi wake.
 
kwani ameshapata meneja kama Daimond?
 
Nimetoa Ushauri kwenye hili jukwaa Mara nyingi na bado nitaendelea..
Bongo fleva lazima wakubali kubadilika..
Hizi sifa wanazotafuta Zinawazidi Uwezo..
Hii ni aibu kwa huyu Dogo..
Wajijengee Uwezo wa ku perform Kwa (Raia)Waingereza Siyo Watanzania wanaoishi Uingereza..
 
Back
Top Bottom