Si ndo hapooo... Ilaa watafelii tuu!! Maana walishakubaliana hiyo laki 8 .
Utahira tuuh!Hahaaa. Cha kufanya wajikune mikono inapoishia. Sababu kulazimisha shida ndio hiyo sasa.
Ila hata mie wananikera sana.
Mtu anakwambia katunga verse baada ya kusikilizishwa beat unatarajia huo wimbo utadumu kwa siku ngapi.Wasanii wa siku hizi makajanja sana hawana vipaji basi tu kulazimisha fani kwa migongo ya wasanii wa zamani. Nyimbo zao wakitynga zinadumu wiki moja au mbili ishaisha utamu
Mtu anakwambia katunga verse baada ya kusikilizishwa beat unatarajia huo wimbo utadumu kwa siku ngapi.
its called tribute ladyMie huwa najiwazia kwani ni lazima kurudia wimbo wa mtu ambao ulishaimbwa sababu mwisho wa siku ndio hizi seke seke zinatokea.
Yetu macho na masikio wacha tuone mwisho ni nini.
wewe unasema mkuu,muziki huwa haufi mkuu,ndiomana hata watoto wako wakizaliwa bado wataupenda wimbo huoMuziki wa mwaka 1973 unataka fidia wakati ulikuwa umesha expiry
HV MTU akidai chake ni dhambi!??? Maaan wasanii ni wazur Wa Lusaka hati miliki, inakuaje wanaibia wasanii wenzao, au hy hati miliki ni ya vijana tu wazee haiwahusuWasingeurudia huo wimbo wangeipata wapi hiyo hela?
Na huko nchi za nje pia wakizirudia nao wanaziboronga?its called tribute lady
hata nchi za nje ipo sana ni kawaida
Hahahaaaa. Na kweli aisee rafiki.Wametoa nyimbo nyingi mpaka idea zimewashia
Kumekucha rafikiHahahaaaa. Na kweli aisee rafiki.
Mke wa Ruge?Hilo nalo neno.Nimekupata.Kazi kweli kweliHaya Mke Wa Ruge kamwingiza mkenge mwenzie, maaan Aslay anajua kuimba na kutunga , na Nandi kazid hata za Ray C anaziiimbaga jukwaani
Kumekucha salama kabisa rafiki namshukuru Mwenyezi Mungu.Kumekucha rafiki
Mkuu naomba nisaidie kujua hati miliki unavo kuwa . Je kigezo cha utunzi na nikaimba mm mwenyewe nyimbo haitoshi kunipa hati miliki?Kesi yao hao viongozi wa kikundi (Culture Music Club)itakua tu na mashiko kama kikundi kilikua kina haki miliki juu ya wimbo huu.Hao waimbaji waliochukua hiyo 800,000 itawatokea puani na Aslay na Nandi watapaswa kuwalipa hao wanakikundi.Ishu ya wimbo chambua kama karanga wa Saida Karoli mwenye haki miliki ni Mzee Mutta na sio Saida Karoli.
Sema hao wazee wangekua wajanja wangewapa bure tu huo wimbo ila royalties zote zinakua za wanakikundi ila Aslay na Nandy watanufaika na show tu za wimbo husika,mauzo ya wimbo na matangazo yanakua ni mali ya kikundi.Mfano wimbo wa I will Always Love you aliouimba Whitney Houston ulikua wa Dolly Parton.Whitney alimuomba Dolly amuuzie huo wimbo but Dolly Parton alikataa kata kata na alimpa wimbo ule bure ila royalties zote zikawa ni za Dolly Parton.Whitney alivyokufa wimbo huu uliuza sana na mapato yote yalienda kwa Dolly na sio kwa Whitney ambaye aliufanya wimbo huu uwe maarufu sana,kumbuka Whitney amekufa akiwa kafilisika kama ungekua ni wimbo wake basi angeiacha familia yake ikiwa pazuri kimapato.
Wazee hawa wakae chini wafikie muafaka ila ikishindikana basi waende mahakaman na wang'anganie wimbo uwe mali yao au wagawane nusu kwa nusu kwa kila kitakachofanyika kuhusu wimbo huo wasikubali kupewa hela hata ikiwa milioni kumi kwan mpaka sasa huo wimbo umewapa Nandy na Aslay mkataba mnono wa brand ammbassodor achilia mbali show yao ya Valentine Day!
HV MTU akidai chake ni dhambi!??? Maaan wasanii ni wazur Wa Lusaka hati miliki, inakuaje wanaibia wasanii wenzao, au hy hati miliki ni ya vijana tu wazee haiwahusu
Asubuhi njema rafikiKumekucha salama kabisa rafiki namshukuru Mwenyezi Mungu.