Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Amen mtumishiPokea Uponyaji - Ugonjwa Tokaaaa!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen mtumishiPokea Uponyaji - Ugonjwa Tokaaaa!!!
We hazimo kweli kama uliexpire Kwanini wameurudia??Muziki wa mwaka 1973 unataka fidia wakati ulikuwa umesha expiry
Usiwaamini wasanii wa ubongo fleva na ubongo movie ni makanjanja SanaWaliwalipaa kabisaa hao wenye huo.wimboo ilaa wale jamaa wamewageuka saa hizi tamaa tu
Tamaa mbayaaYaan wamewapa laki 8 wakati tatu Mzuka wamewapa zaidi ya million 50 wawe mabalozi kisa huo wimbo, bado hela ya viewers YouTube ina tembea million 2
Si hapoo Kwenye huo warakaa wanasema Lina Aslay wanatuhumiwaa.kuwalipa Kiasi kidogo haoo wenye wimboUsiwaamini wasanii wa ubongo fleva na ubongo movie ni makanjanja Sana
Umehelwa post hao wakina Asley wamewapa icho kikundi laki 8 wakati ukiiangalia kwa makadirio Asley na Nandi washaiingiza zaidi ya million 50Laki 8 tu me nawalipia hacheni roho mbaya
Nashawishika kuwa Devils Advocate - Itakuaje kama hio laki nane ndio ilikua makubaliano yao na hao waliopokea? Biashara ni issue nzito sana, pale unapomuuzia mtu gari kwa milioni 5 halafu yeye akafanikiwa kuliuza kwa milioni nane!! ..Hayo yameibuka baada ya mmiliki wa wimbo huo, Kikundi cha Tarab Asilia visiwani Zanzibar (Culture Music Club) kudai pesa zilizotolewa jumla ya Tsh. 800,000 kama fidia za kutumia kazi hiyo hawazitambui hivyo wanajipanga kuwapeleka mbele ya Mahakama
Laki 8 mbona hela ndogo?
Yaani wewe unaweza kuuza kitu chako cha thamani kwa pesa kidogo kisa tu ungepata wapi hela?Wasingeurudia huo wimbo wangeipata wapi hiyo hela?
Yaani wewe unaweza kuuza kitu chako cha thamani kwa pesa kidogo kisa tu ungepata wapi hela?
Rudi shule braza
Kasome tena vizuri utaelewa, tofautisha kati ya msanii na uongozi wa kundi.Nadhanii waliwapaa mpaka pesa..Na jamaa wakakubalii maana kiukweli nyimbo zao zishapitwa na wakati na hata shoo kupitia hizo nyimbo hawampati mtu.. Semaa tamaa imewajaa baada ya kuona imekuwa Hit kalii sana