Asome Fani gani VETA Kati ya hizi zifuatazo?

Asome Fani gani VETA Kati ya hizi zifuatazo?

chamng'asi

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
215
Reaction score
396
Salaam!
Kijana wangu kahitimu kidato cha nne, Ana division FOUR ya point 26, Nimeazimia kumpeleka VETA asome fani yoyote ambayo kwa sasa ni marketable,
Naomba Ushauri wenu kati ya hizi zifuatazo ipi aisome?
1. Truck Mechanics
2. Heavy Duty Mechanics
3. Electronics
4. Machine Tool Maintenance
5. Refrigeration and Air conditioning
Nasoma comments zenu..... Na kama ipo fani nyingine nzuri nitazingatia ushauri....
 
Moshi VETA

1717324074439.png
 
Mwambie akasome ufundi wa umeme wa magari, sensors zote za gari pamoja na engine hasa Kwa magari ya kisasa ya ulaya na jp.
Nimeomba mwajiri aniruhusu nikasome hayo mambo kwa mwaka wa masomo ujao na chuo ni Ndanda VCT,je nitatoboa ikumbwe nimesoma pure at miaka mingi zaidi ya 18now
 
Mletee ofcn ajifunze kuchomelea grill km uchumi wako n mzuri akijua mfungulie ofcn mtafutie account instar yenye follow wengi mnunulie aifanyie kazi ya kupost kazi zake kama n mtulivu wa akili na ukimsapot atatoboa..
 
Salaam!
Kijana wangu kahitimu kidato cha nne, Ana division FOUR ya point 26, Nimeazimia kumpeleka VETA asome fani yoyote ambayo kwa sasa ni marketable,
Naomba Ushauri wenu kati ya hizi zifuatazo ipi aisome?
1. Truck Mechanics
2. Heavy Duty Mechanics
3. Electronics
4. Machine Tool Maintenance
5. Refrigeration and Air conditioning
Nasoma comments zenu..... Na kama ipo fani nyingine nzuri nitazingatia ushauri....
Food catering, sema ni vile haipo miongoni mwa ulizozitaja so chukulia kama nimejiropokea tu.
 
4 hato jutia,, atakua mkali wa mitambo, pumps, hydraulic, plants.
Atakua kali wa marekebisho na matengenezo ya nilivyo vitaja hapo juu.
Atajua matumizi ya milling, re-boring na lathe
 
Kungekuwa na kozi ya civil ningeshauri aende hiyo
 
Back
Top Bottom