Asome Fani gani VETA Kati ya hizi zifuatazo?

Asome Fani gani VETA Kati ya hizi zifuatazo?

Salaam!
Kijana wangu kahitimu kidato cha nne, Ana division FOUR ya point 26, Nimeazimia kumpeleka VETA asome fani yoyote ambayo kwa sasa ni marketable,
Naomba Ushauri wenu kati ya hizi zifuatazo ipi aisome?
1. Truck Mechanics
2. Heavy Duty Mechanics
3. Electronics
4. Machine Tool Maintenance
5. Refrigeration and Air conditioning
Nasoma comments zenu..... Na kama ipo fani nyingine nzuri nitazingatia ushauri....
ufundi magari tena wa umeme utanishukuru
 
Veta wajinga sana. Dogo kaenda kusomea kupaka rangi magari wakampigisha rangi vitanda vyao mpaka anamaliza kozi.alafu wanamwambia alipie tena ndo asome kupaka rangi magari.🤣🤣🤣
 
Veta wajinga sana. Dogo kaenda kusomea kupaka rangi magari wakampigisha rangi vitanda vyao mpaka anamaliza kozi.alafu wanamwambia alipie tena ndo asome kupaka rangi magari.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itakua Veta ya wapi iyo mzee[emoji848]
 
Vp kuhusu Electrical installation au motor vehicle mechanical ipi iko poaw
 
Back
Top Bottom