chamng'asi
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 215
- 396
We jamaa mpaka nimeshangaa nilipoona heading nikasema mbio niwahi kumwambia plumbing nashangaa ushasema basi mtoa uzi narudia akapige plumbingPlumbing
Kwanini plumbing mkuuWe jamaa mpaka nimeshangaa nilipoona heading nikasema mbio niwahi kumwambia plumbing nashangaa ushasema basi mtoa uzi narudia akapige plumbing
MmmmhWe jamaa mpaka nimeshangaa nilipoona heading nikasema mbio niwahi kumwambia plumbing nashangaa ushasema basi mtoa uzi narudia akapige plumbing
Nimeomba mwajiri aniruhusu nikasome hayo mambo kwa mwaka wa masomo ujao na chuo ni Ndanda VCT,je nitatoboa ikumbwe nimesoma pure at miaka mingi zaidi ya 18nowMwambie akasome ufundi wa umeme wa magari, sensors zote za gari pamoja na engine hasa Kwa magari ya kisasa ya ulaya na jp.
Unatoboa tu mkuu ni nia tuNimeomba mwajiri aniruhusu nikasome hayo mambo kwa mwaka wa masomo ujao na chuo ni Ndanda VCT,je nitatoboa ikumbwe nimesoma pure at miaka mingi zaidi ya 18now
Nipo Coet hapa Mkuu tuonane1 na 3
Food catering, sema ni vile haipo miongoni mwa ulizozitaja so chukulia kama nimejiropokea tu.Salaam!
Kijana wangu kahitimu kidato cha nne, Ana division FOUR ya point 26, Nimeazimia kumpeleka VETA asome fani yoyote ambayo kwa sasa ni marketable,
Naomba Ushauri wenu kati ya hizi zifuatazo ipi aisome?
1. Truck Mechanics
2. Heavy Duty Mechanics
3. Electronics
4. Machine Tool Maintenance
5. Refrigeration and Air conditioning
Nasoma comments zenu..... Na kama ipo fani nyingine nzuri nitazingatia ushauri....
Pamoja na kurekebisha na kutengeneza pumpUwekaji mabomba
Uko depart ipi? Japo mie nilisha graduate last yr.Nipo Coet hapa Mkuu tuonane