Aspirin: "JF Man Of The Year 2011"

hongera babu ODM
hivi ni 100 au 50??
natangulia kaunta utakuta bill kwa Eliza
 
Kamata Picnic Tupa kule
Chukua mromboo weka hapa!
RIP khanga moko laki si hela!

Milione pesa leo mpwa weupe tu ndo watakuwa wana kazi ya kuleta chupa na kutupa chupa huku pembeni watakuwa mablack beauty tu wakitupepelea hiyo Tsh.50000/= kwa hesabu ya buku 700 sawa na creti ngapi?
 
Haya mambo ya kubebana na kuridhishana kwa madhumuni ya kupata sifa itakayokupelekea kufikia maazimio tarajiwa (ya kuopoa humu) yatakuja kuibomoa jf.
Take it from me!
 
Hehehehe.......... hiyo 50 nikiitumia fresh tunaweza shea room pale Mash Mash kwa mipododo.
 
Hehehehe.......... hiyo 50 nikiitumia fresh tunaweza shea room pale Mash Mash kwa mipododo.

Hahahahaha haswaa na bei za Guest zimepanda kweli kweli tutawekeana masaa unapiga wewe unatoka unaniachia room nami nafanya finishing mbona hiyo 50 tunajenga heshima
 
Subiri kidogo ajifungue..... ana kaujauzito ka mapacha watatu.

Whaaaaaaatttttt????

Kiongozi umeamua kunipa za uso kwakuwa nimegusa kipenzi chako cha roho!?

Basi nichagulie mwingine anayefanana naye.
 
Haya mambo ya kubebana na kuridhishana kwa madhumuni ya kupata sifa itakayokupelekea kufikia maazimio tarajiwa (ya kuopoa humu) yatakuja kuibomoa jf.
Take it from me!

Kweli mkuu ningeweza shinda mimi au wewe wapo wengine wangekuja kubisha kama wewe tukubali matokeo na kukomaa kiJF
 
Kwa wale wanaopinga matokeo, wanaombwa wasivunjike moyo, kutakuwa na uchaguzi mdogo jukwaa la love connect wiki ijayo wanaweza wakachukua fomu za kugombea na kujarib zali.

Asanteni sana
International observer wa JEC
Zimbabwe
 
Whaaaaaaatttttt????

Kiongozi umeamua kunipa za uso kwakuwa nimegusa kipenzi chako cha roho!?

Basi nichagulie mwingine anayefanana naye.
Keren_Hapuch na Sweetlady usiwaguse. Nshamkabizi Felo tableti Kloro
Amyner na Neiwa nshamkabizi babu mdogo Teamo
Cantalisia analea mimba ya Rejao
Kabakabana bado yuko chini ya uangalizi wangu

Hebu nikumbushe waliobakia...:eyebrows:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…