Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamata Picnic Tupa kulehongera babu ODM
hivi ni 100 au 50??
natangulia kaunta utakuta bill kwa Eliza
Kamata Picnic Tupa kule
Chukua mromboo weka hapa!
RIP khanga moko laki si hela!
Wewe bwana kazi yako ni kunitajia mmoja kama anastahili nakusevia. Kama hakufai nakwambia.
Hehehehe.......... hiyo 50 nikiitumia fresh tunaweza shea room pale Mash Mash kwa mipododo.Milione pesa leo mpwa weupe tu ndo watakuwa wana kazi ya kuleta chupa na kutupa chupa huku pembeni watakuwa mablack beauty tu wakitupepelea hiyo Tsh.50000/= kwa hesabu ya buku 700 sawa na creti ngapi?
Subiri kidogo ajifungue..... ana kaujauzito ka mapacha watatu.Haya kiongozi, nimemchagua Mwanajamii1 😛oa
haya twende kaziiiii!!
Hehehehe.... Kama marais wa kiafrika wanapopigwa chini. Sie twasonga mbele kula albatar.Kazi ipo watu hawakubali matokeo
Hehehehe.......... hiyo 50 nikiitumia fresh tunaweza shea room pale Mash Mash kwa mipododo.
Subiri kidogo ajifungue..... ana kaujauzito ka mapacha watatu.
Haya mambo ya kubebana na kuridhishana kwa madhumuni ya kupata sifa itakayokupelekea kufikia maazimio tarajiwa (ya kuopoa humu) yatakuja kuibomoa jf.
Take it from me!
Basi nichagulie mwingine anayefanana naye.
Keren_Hapuch na Sweetlady usiwaguse. Nshamkabizi Felo tableti KloroWhaaaaaaatttttt????
Kiongozi umeamua kunipa za uso kwakuwa nimegusa kipenzi chako cha roho!?
Basi nichagulie mwingine anayefanana naye.
Halafu kuna hii mambo ya multi IDs. Mtu ana ID kumi au 15...unamonitior vipi hiyo kitu?Kazi ipo watu hawakubali matokeo