Assets za asili za Mwanamke na Mwanaume. Hizi ukizijua zikikusaidia pakubwa

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
ASSETS ZA ASILI ZA MWANAMKE NA MWANAUME. HIZI UKIZIJUA ZITAKUSAIDIA PAKUBWA.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Assets ni rasilimali aliyonayo mtu au kampuni, taasisi au shirika, au taifa ambayo inaweza kutumika kuleta faida kiuchumi.
Siku hizi Istilahi hiyo "Assets" hatimiliki tuu kiuchumi Bali hata kwenye Nyanja zingine kama kisiasa na Kijamii.

Tukisema Assets ni kitu au Jambo au sifa Fulani ya kimaumbile alizonazl mtu ambazo zikitumiwa/tumika zinaweza kuleta FAIDA.

ASSETS ZA MWANAMKE
Kwenye Jinsia, mwanamke ana Assets zake ambazo zinampa thamani na kama atazitumia zinaweza kumpa FAIDA.

Mwanamke ana Assets zifuatazo;
1. Uzuri wa maumbile kuvutia kingono.
Sura nzuri, maumbile teketeke, sauti nyororo n.k.

Uzuri na Maumbile ya mwanamke ndio assets pekee ambazo zinamfanya mwanamke ajiamini popote.
Mwanamke anaweza kutumia Maumbile yake kama Silaha, au mtaji WA kuendesha maisha yake.
Kujilinda na Adui zake. Kumuangamiza yeyote.

Mwanamke kiasili atajifunza kujipodoa mwenyewe, kulinda uzuri wake, kuringa na kushambulia adui zake kupitia maumbile yake.

Sasa hutojiuliza ni Kwa nini wanawake hutumia Muda mwingi kujiremba au kugharamia uzuri wao.
Ni kwa sababu ndio silaha pekee ambayo mwanamke anaitegemea na nature inampa nguvu kushinda katika mazingira yoyote awapo.

Nguvu ya mwanamke na ushawishi wake hupungua kadiri uzuri na assets za kimaumbile zinapoharibiwa vibaya.

Ndio maana hata itokee vita Kali ya taifa Moja na jingine huwezi kukuta wanawake warembo wakiuawa. Labda wawe wajinga wasiojua kutumia assets Zao.

ASSETS ZA MWANAUME KIMAUMBILE
Kwa upande wa mwanaume. Anajivunia mambo Makuu aliyobarikiwa na maumbile ya asili.
1. Akili
2. Nguvu

Akili na nguvu ndio assets pekee ambazo mwanaume amejaliwa kiasili.
Mwanamke hawezi mshinda Mwanaume kinguvu na kiakili. Asili imempendelea Mwanaume kwenye mambo hayo mawili, Akili na Nguvu.
Kama vile Mwanaume hawezi mshinda mwanamke Kwa uzuri na mvuto wa kimaumbile. Kwa sababu asili imempendelea zaidi mwanamke kwenye suala la Uzuri wa maumbile.

Utagundua kuwa tangu utoto, watoto wakiume utawakuta wakijifunza Ngumi na mapigano.

Hivyo mwanaume anatakiwa athamini nguvu za Mwili wake. Kufanya mazoezi, kujiweka mkakamavu, ili mwili uwe na nguvu Muda wote.
Ni kosa la kiufundi mwanaume kuharibu nguvu zake kwa namna yoyote Ile,iwe pombe au Kula vyakula hovyohovyo na kunenepeana.

Pili, mwanaume lazima aijenge mindset yake iwe stable na strong. Awe na maarifa na ufahamu wa mambo mengi. Akili ya Mwanaume inatakiwa iwe active muda wote.

Mwanamke asiye na Nguvu na asiye na akili dunia itamvuruga Sana. Wanawake watamuonea Sana.
Rules of jungle ukishindwa kuzifuata maisha yako utayaona sio kitu.

Acha nikalale!

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
 
Wanawake wasio warembo na teketeke wanacomment wapi?
 
Attachments

  • download (1).jpeg
    download (1).jpeg
    7 KB · Views: 2

ILe nguvu ya Kitandani nayo siku hizi ni Asset
 
Back
Top Bottom