Trinity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 1,897
- 3,669
Hee, kiongozi we acha tu ila nimeongea ukweli wa Mungu nimewahi piga mtu kisa dada maana huyo jamaa alikua ameoa halafu nikawabamba chumbn na dogo we acha tu.Una mikwara mikali kwenye keyboard
Sent using Jamii Forums mobile app