Hizo ni aspirations zako.Well said. Ndio maana sehemu fulani nilizungumzia ushawishi na tskrima. Uzuri mambo kama haya huanza kama vuguvugu/trend kisha hushika hatamu. Wakati utafika watu (hasa wazima miaka 35+) wataona kusikiliza burudani mfululizo ni utoto.
Kama ambavyo imetokea wakongwe wa bongo fleva wamechoka kusikiliza hawa Gez Z na sasa wanarudi kwa millennial na Gen X. Hivyo hivyo itatokea kwa upande huu tunaoujadili
Ifike pahala media zione tija katika kuwapa maarifa wananchi kuhusu hatima zao kiuchumi, kisiasa, kijamii, kiteknolojia, na kiburudani pia.
Changamoto kubwa ipo kwa wanahabari wenyewe, maana kama mtangazaji ana content makini bila kujalisha ni siasa au uchumi ni wazi atateka wasikilizaji/watazamajiHakuna wasomi na watu wa kawaida wenye uelewa mpana ambao wanajiamini kuongea na vyombo vya habari.
Pia aina ya waandishi na wanahabari wenye uelewa mpana na uwezo wa kuendesha vipindi hivyo ni wachache sana.
Matokeo yake ndiyo hayo, vyombo vya habari vimejikita mno katika maeneo hayo.
Africans need to be re-colonizedKumekucha tena.
Hili siala limeshajadiliwa sana sehemu mbalimbali. Hivi kwa taifa hili changa tunajivunia nini kuanza kujadili michezo redioni na kwenye televisheni saa 2 asubuhi? Kweli?
Najua wapo watawala wana hofu kuhusu wenye nchi kuwa na uelewa wa mambo yanayowahusu na hatimaye kuchukua hatua stahiki. Najua pia vipo vyombo vya habari vyenye hofu hiyo ya kuonekana kinzani. Najua pia vipo vyombo vya habari vyenye hofu ya kupoteza wateja na matangazo kwa sababu hizo.
Watanzania wanapaswa kujengwa katika namna ambayo itawainua kifikra. Media leo inataka kuheshimiwa wakati 24/7 ni mpira na matangazo ya kamari tu? Leo ukiuliza nusu ya watanzania bajeti iliyopitishwa juzi ni ya thamani gani hawajui.
Ifike pahala media zione tija katika kuwapa maarifa wananchi kuhusu hatima zao kiuchumi, kisiasa, kijamii, kiteknolojia, na kiburudani pia.
Muhimu ni nini na yapi na kwa jicho la nani ? (Huwezi kumwambia mpenda michezo kusikiliza michezo sio muhimu) alternative ni kujinyima anachopenda... Pili yale unayosema muhimu huenda ni illusion na hao wanasiasa ni so out of touch na greedy na wanasimamia matumbo yao na hawa watu waliokuwa wanawafuatilia wamechoka kuwa madaraja ya watu kuwatumia kupata kura kwenda kutafuta kula....Kutokujali mambo muhimu yanayogusa ubora wa maisha yako directly na kujali(kuwa obsessed na)mambo yasiyogusa ustawi wa maisha yako ni udumavu wa akili.
Media za kibongo,wanaitwa watu ili wasutane wakiwa hewaniPower Breakfast /Joto la asubuhi
Sports Arena/Sports Round Up
Mashamsham/Leo tena
The Switch /Planet Bongo
Jahazi /Mgahawani
Amplifaya
Lavidavi / Singeli michano
Yaani ni vururu vururu tu.
Na hapo kwenye mitandao watu wanashinda tiktok kuangalia vibonzo tu. Aisee Taifa linadumazwa sana na hizi media na social media
Hakika. Kama ni mfuatiliaji wa tbc unaweza kuta siku moja unafanya mjadala na watu na ukawa unatoa hoja za maana hadi watu wakawa wanakushangaa kumbe nimuumini wa tbc wakati wao kutwa yanga na simba na magoma na ubaya ubwelaKweli mkuu ila hiyo kazi wanaiweza TBC tu
Ukichunguza kwa makini utagundua mfumo ndo unawalazimu kuwa ivo, vina uhuru wa kuzungumza maswala ya michezo na kamari kwa uhuru zaidi kuliko chochote kwasabu upatikanaji wake ni mrahisi sana lakini tukija kwwnye curent ishu ni ngumu kwasabu mfumo hauwaruhusu kuchimba habari kwa kina na kupeleka kwa jamii ………. Most of them habari wanazo pata ni zile ambazo mfumo imewaruhusu wapate …… cjui kama umenielewaKumekucha tena.
Hili siala limeshajadiliwa sana sehemu mbalimbali. Hivi kwa taifa hili changa tunajivunia nini kuanza kujadili michezo redioni na kwenye televisheni saa 2 asubuhi? Kweli?
Najua wapo watawala wana hofu kuhusu wenye nchi kuwa na uelewa wa mambo yanayowahusu na hatimaye kuchukua hatua stahiki. Najua pia vipo vyombo vya habari vyenye hofu hiyo ya kuonekana kinzani. Najua pia vipo vyombo vya habari vyenye hofu ya kupoteza wateja na matangazo kwa sababu hizo.
Watanzania wanapaswa kujengwa katika namna ambayo itawainua kifikra. Media leo inataka kuheshimiwa wakati 24/7 ni mpira na matangazo ya kamari tu? Leo ukiuliza nusu ya watanzania bajeti iliyopitishwa juzi ni ya thamani gani hawajui.
Ifike pahala media zione tija katika kuwapa maarifa wananchi kuhusu hatima zao kiuchumi, kisiasa, kijamii, kiteknolojia, na kiburudani pia.
Unachozungumza ni kweli. Kwa kukazia tu ni kwamba licha ya mfumo kutokuwa tayari kukosolewa, media pia zinaingiwa na woga kukosoa ya serikali.Ukichunguza kwa makini utagundua mfumo ndo unawalazimu kuwa ivo, vina uhuru wa kuzungumza maswala ya michezo na kamari kwa uhuru zaidi kuliko chochote kwasabu upatikanaji wake ni mrahisi sana lakini tukija kwwnye curent ishu ni ngumu kwasabu mfumo hauwaruhusu kuchimba habari kwa kina na kupeleka kwa jamii ………. Most of them habari wanazo pata ni zile ambazo mfumo imewaruhusu wapate …… cjui kama umenielewa
Au kama cyo ivo basi hata warudi shule au wenye welewa mpana wapewe hizo ajira ili tupate tarifa kwa kinaUnachozungumza ni kweli. Kwa kukazia tu ni kwamba licha ya mfumo kutokuwa tayari kukosolewa, media pia zinaingiwa na woga kukosoa ya serikali.
Sasa nia yangu ni kuona basi kama kwa ngazi hiyo inashindikana, yapo masuala ya msingi bado ya kujadili bila kuathiri pande zote
Ni kweli kuna ombwe la wanahabari, hasa redioni. Mtu akishakuwa maarufu, basi na kutangaza anajua. Tunawasikia wengi redioniAu kama cyo ivo basi hata warudi shule au wenye welewa mpana wapewe hizo ajira ili tupate tarifa kwa kina