Asubuhi ni muda wa kujadili masuala ya kitaifa/kimataifa kwenye vyombo vya habari (media), sio burudani

Well said. Ndio maana sehemu fulani nilizungumzia ushawishi na tskrima. Uzuri mambo kama haya huanza kama vuguvugu/trend kisha hushika hatamu. Wakati utafika watu (hasa wazima miaka 35+) wataona kusikiliza burudani mfululizo ni utoto.

Kama ambavyo imetokea wakongwe wa bongo fleva wamechoka kusikiliza hawa Gez Z na sasa wanarudi kwa millennial na Gen X. Hivyo hivyo itatokea kwa upande huu tunaoujadili
Hizo ni aspirations zako.

Watanzania hawatabiriki.
 
Hizo burudani nazo zipo za kitaifa na kimataifa pia
 
Ifike pahala media zione tija katika kuwapa maarifa wananchi kuhusu hatima zao kiuchumi, kisiasa, kijamii, kiteknolojia, na kiburudani pia.

Hakuna wasomi na watu wa kawaida wenye uelewa mpana ambao wanajiamini kuongea na vyombo vya habari.

Pia aina ya waandishi na wanahabari wenye uelewa mpana na uwezo wa kuendesha vipindi hivyo ni wachache sana.

Matokeo yake ndiyo hayo, vyombo vya habari vimejikita mno katika maeneo hayo.
 
Imagine finance bill tu kuna lundo la Watanzania hata hawajui-jamii ya Watanzania tulio nao ni marehemu wanaotembea.
 
Hakuna wasomi na watu wa kawaida wenye uelewa mpana ambao wanajiamini kuongea na vyombo vya habari.

Pia aina ya waandishi na wanahabari wenye uelewa mpana na uwezo wa kuendesha vipindi hivyo ni wachache sana.

Matokeo yake ndiyo hayo, vyombo vya habari vimejikita mno katika maeneo hayo.
Changamoto kubwa ipo kwa wanahabari wenyewe, maana kama mtangazaji ana content makini bila kujalisha ni siasa au uchumi ni wazi atateka wasikilizaji/watazamaji
 
Kumekucha tena.

Hili siala limeshajadiliwa sana sehemu mbalimbali. Hivi kwa taifa hili changa tunajivunia nini kuanza kujadili michezo redioni na kwenye televisheni saa 2 asubuhi? Kweli?

Najua wapo watawala wana hofu kuhusu wenye nchi kuwa na uelewa wa mambo yanayowahusu na hatimaye kuchukua hatua stahiki. Najua pia vipo vyombo vya habari vyenye hofu hiyo ya kuonekana kinzani. Najua pia vipo vyombo vya habari vyenye hofu ya kupoteza wateja na matangazo kwa sababu hizo.

Watanzania wanapaswa kujengwa katika namna ambayo itawainua kifikra. Media leo inataka kuheshimiwa wakati 24/7 ni mpira na matangazo ya kamari tu? Leo ukiuliza nusu ya watanzania bajeti iliyopitishwa juzi ni ya thamani gani hawajui.

Ifike pahala media zione tija katika kuwapa maarifa wananchi kuhusu hatima zao kiuchumi, kisiasa, kijamii, kiteknolojia, na kiburudani pia.
Africans need to be re-colonized

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Kutokujali mambo muhimu yanayogusa ubora wa maisha yako directly na kujali(kuwa obsessed na)mambo yasiyogusa ustawi wa maisha yako ni udumavu wa akili.
Muhimu ni nini na yapi na kwa jicho la nani ? (Huwezi kumwambia mpenda michezo kusikiliza michezo sio muhimu) alternative ni kujinyima anachopenda... Pili yale unayosema muhimu huenda ni illusion na hao wanasiasa ni so out of touch na greedy na wanasimamia matumbo yao na hawa watu waliokuwa wanawafuatilia wamechoka kuwa madaraja ya watu kuwatumia kupata kura kwenda kutafuta kula....

Thus for the sanity of such people ni bora wakatafute pressure release somewhere..., ingawa hawahitaji kuambiwa siku wakiwa cornered utawaona tu mtaani (historically it alwasy
 
Power Breakfast /Joto la asubuhi
Sports Arena/Sports Round Up
Mashamsham/Leo tena
The Switch /Planet Bongo
Jahazi /Mgahawani
Amplifaya
Lavidavi / Singeli michano

Yaani ni vururu vururu tu.
Na hapo kwenye mitandao watu wanashinda tiktok kuangalia vibonzo tu. Aisee Taifa linadumazwa sana na hizi media na social media
Media za kibongo,wanaitwa watu ili wasutane wakiwa hewani
Taifa limejaa wajinga

Ova
 
Kweli mkuu ila hiyo kazi wanaiweza TBC tu
Hakika. Kama ni mfuatiliaji wa tbc unaweza kuta siku moja unafanya mjadala na watu na ukawa unatoa hoja za maana hadi watu wakawa wanakushangaa kumbe nimuumini wa tbc wakati wao kutwa yanga na simba na magoma na ubaya ubwela
 
Kumekucha tena.

Hili siala limeshajadiliwa sana sehemu mbalimbali. Hivi kwa taifa hili changa tunajivunia nini kuanza kujadili michezo redioni na kwenye televisheni saa 2 asubuhi? Kweli?

Najua wapo watawala wana hofu kuhusu wenye nchi kuwa na uelewa wa mambo yanayowahusu na hatimaye kuchukua hatua stahiki. Najua pia vipo vyombo vya habari vyenye hofu hiyo ya kuonekana kinzani. Najua pia vipo vyombo vya habari vyenye hofu ya kupoteza wateja na matangazo kwa sababu hizo.

Watanzania wanapaswa kujengwa katika namna ambayo itawainua kifikra. Media leo inataka kuheshimiwa wakati 24/7 ni mpira na matangazo ya kamari tu? Leo ukiuliza nusu ya watanzania bajeti iliyopitishwa juzi ni ya thamani gani hawajui.

Ifike pahala media zione tija katika kuwapa maarifa wananchi kuhusu hatima zao kiuchumi, kisiasa, kijamii, kiteknolojia, na kiburudani pia.
Ukichunguza kwa makini utagundua mfumo ndo unawalazimu kuwa ivo, vina uhuru wa kuzungumza maswala ya michezo na kamari kwa uhuru zaidi kuliko chochote kwasabu upatikanaji wake ni mrahisi sana lakini tukija kwwnye curent ishu ni ngumu kwasabu mfumo hauwaruhusu kuchimba habari kwa kina na kupeleka kwa jamii ………. Most of them habari wanazo pata ni zile ambazo mfumo imewaruhusu wapate …… cjui kama umenielewa
 
Mtanzania anataka burdan tu sahv

Oba
 
Unachozungumza ni kweli. Kwa kukazia tu ni kwamba licha ya mfumo kutokuwa tayari kukosolewa, media pia zinaingiwa na woga kukosoa ya serikali.

Sasa nia yangu ni kuona basi kama kwa ngazi hiyo inashindikana, yapo masuala ya msingi bado ya kujadili bila kuathiri pande zote
 
Au kama cyo ivo basi hata warudi shule au wenye welewa mpana wapewe hizo ajira ili tupate tarifa kwa kina
 
Ni kweli kuna ombwe la wanahabari, hasa redioni. Mtu akishakuwa maarufu, basi na kutangaza anajua. Tunawasikia wengi redioni
 
Back
Top Bottom