Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hizo ni aspirations zako.Well said. Ndio maana sehemu fulani nilizungumzia ushawishi na tskrima. Uzuri mambo kama haya huanza kama vuguvugu/trend kisha hushika hatamu. Wakati utafika watu (hasa wazima miaka 35+) wataona kusikiliza burudani mfululizo ni utoto.
Kama ambavyo imetokea wakongwe wa bongo fleva wamechoka kusikiliza hawa Gez Z na sasa wanarudi kwa millennial na Gen X. Hivyo hivyo itatokea kwa upande huu tunaoujadili
Watanzania hawatabiriki.