At the pub, must show you’re VIP (Kwenye baa, lazima ujionyeshe kuwa wewe ni VIP)

Yap Mhimili lazima ujulikane hakuna kukaa KINYONGE....dadek unakunywa IGO mpaka mwenye henkenini anapigwa raundi mhudumu tipu ya nguvu ...yaani akileta ankara mpaka namba yake ndani ...hahaha ndani ya Zepikinik A town
Next time ukitimba wahudumu wanakugombania ...teh teh dadiii dadiii unakunywa nini leo...kimoyo moyo bichwa hilooo...
Haahaa,
Zisiwe pesa za mawazo
Kuna brother angu mmoja
Anatumia pesa mpaka kesho ana gongea BUKU.....
 
🤣🤣🤣🤣 asubuhi ukiamka unajisachi mara tatu tatu...unasingizia chuma ulete yani hata vocha ya jero huwezi nunuwa wakati waleti ilikuwa na laki nne.....ila chakushangaza hukomi zikiingia tu unarudi kulekule kutangaza VITA!!!!
 
Balaa kubwa sana mtu ana singizia chuma ule....wakati yeye ndie chuma ulete wa MAISHA yake.....
 
Mimi ni mdau wa hii hali lazima nichangie.Kitendo cha mtu kuamua kwenda kwenye bar lazima utakuwa umejipanga na nyumbani umepaacha vizuri.Kwa mimi maana ndo starehe yangu lazima nieende sehemu kuna mchanganyiko wa watu wengi kama bia ingekua tamu ningenunua ninywee nyumbani.
Hiyo ndio starehe ya mtu huwezi kumuingilia mtu wewe kama ni bahili kaa nyumbani na soda yako kwa kawaida ng'ombe akivunjika mguu anakimbilia zizini.Wewe kama huna hela lala nyumbani kwako acha sisi tuzitumie na kesho tunafuta zingine tena kikubwa tu tutumie akili sana sio watoto wamefukuzwa shule hakuna ada,wanashinda na njaa nk.
 
Walevi wanawauliza wanaokunywa chai kwamba tokea waanze kunywa chai wamepata faida Gani.
 
Mimi ni mdau wa hii hali lazima nichangie.Kitendo cha mtu kuamua kwenda kwenye bar lazima utakuwa umejipanga na nyumbani umepaacha vizuri.Kwa mimi maana ndo starehe yangu lazima nieende sehemu kuna mchanganyiko wa watu wengi kama bia ingekua tamu ningenunua ninywee nyumbani.
Hiyo ndio starehe ya mtu huwezi kumuingilia mtu wewe kama ni bahili kaa nyumbani na soda yako kwa kawaida ng'ombe akivunjika mguu anakimbilia zizini.Wewe kama huna hela lala nyumbani kwako acha sisi tuzitumie na kesho tunafuta zingine tena kikubwa tu tutumie akili sana sio watoto wamefukuzwa shule hakuna ada,wanashinda na njaa nk.
Mkuu mwarobaini na alovera ni DAWA Ila ni chungu sana...😊😊
 
Back
Top Bottom