Muzii
Senior Member
- Apr 13, 2010
- 196
- 118
Usi umize kichwa bure mtoa mada anajaribu kuonyesha kuwa ikiwa bwawa la Mwalimu halitoshi hadi umeme ukatike katike kila mara, basi Msimbazi ichukue nafasi, kwa Tanzania lolote linawezekanaUnaishi Mtera na hujawahi kufika Dar. Ukisikia bonde la mto Msimbazi unadhani ni sawa na bonde la mto Mtera. Tembea upanue akili.