Atakaye ahidi kujenga bwawa kubwa la umeme mto Msimbazi ili kumaliza tatizo la umeme Dar es Salaam nitampa kura zangu zote

Atakaye ahidi kujenga bwawa kubwa la umeme mto Msimbazi ili kumaliza tatizo la umeme Dar es Salaam nitampa kura zangu zote

Unaishi Mtera na hujawahi kufika Dar. Ukisikia bonde la mto Msimbazi unadhani ni sawa na bonde la mto Mtera. Tembea upanue akili.
Usi umize kichwa bure mtoa mada anajaribu kuonyesha kuwa ikiwa bwawa la Mwalimu halitoshi hadi umeme ukatike katike kila mara, basi Msimbazi ichukue nafasi, kwa Tanzania lolote linawezekana
 
Hivi sasa tatizo la kukatikakatika umeme jijini Dar es Salaam limekuwa kubwa, hii huenda inatokana na umbali wa bwawa la Mwalimu Nyerere lilipo kitu chochote kikisafiri mbali huhitaji mapumziko njiani, hivyo ni vizuri kujenga bwawa hapa Dar es Salaam
Hebu acha ujinga wako,umeme kwa mto wa miezi miwili alafu?
 
Fasihi gani zaidi ya ujinga mtupu.

Ukishajenga hilo bwawa huo umeme utausambazia wapi kama Kinyerezi ipo below capacity kwa sababu hakuna miundombinu ya kupokea umeme.

JHNP below capacity kwa sababu aina uwezo wa kupeleka umeme at full capacity.

Huo umeme utakao zalishia mto Msimbazi utausambaza vipi.

Ujinga mtupu
Serikali si ijenge hiyo miundo mbinu.?Mbona kitu rahis
 
Back
Top Bottom