Atakayeandamana asiseme hakupewa tahadhari

Atakayeandamana asiseme hakupewa tahadhari

Kesho ndo kesho. Weka mguu barabarani tukuonyeshe kazi
Nchi hii imeridhia na kuingia mikataba ya umoja wa mataifa ya kulinda na kutunza haki za bonadamu, je unafahamu hilo?
Isijekuwa najadiliana na Doto maghari.
Kila binadamu ana haki ya kuishi.
Kila binadamu hapaswi kuumizwa, kudhuriwa, wala kuteswa, n.k

Dunia ina observe.
 
Askari hapaswi kumdhuru mtu isipokuwa katika kujihami tu.
Na katika kujihami anapaswa kutumia minimum force kama vile Maji ya washawasha, au kupiga risasi miguuni bila kuua (hii ni nadra sana) na wakati wa uchunguzi ikija kubainika nguvu kubwa kutumika ktk kujihami askari huyo au hao watahukumiwa mahakamani kama wakosaji na adhabu stahiki.
 
Viongozi wanashika vitabu vitakatifu na kuapa mbele za Mwenyezi Mungu kuwa wataongoza kwa kuzingatia Katika inavyotaka. ?
Katiba inaruhusu maandamano ya amani lakini mnakataza ,
Je mnategemea Mtapona?
Vile vitabu vitakatifu mnavichukuliaje?
Mie nawakumbusha tu kama mjumbe huru mwenye fikra huru na mwenye kupendezwa na matendo ya haki na uadilifu.
 
Atokee kiumbe anajidai anapenda demokrasia. Aone kazi

Mimi nilizani msisititizo uwe kuwa asije mtu yeyote akafanya fujo badała ya kutishia na kuzuia takwa la kikatiba ambapo waliapa kwa kushika vitabu vitakatifu meble za Mwenyezi Mungu.
 
Back
Top Bottom