Atakayeandamana asiseme hakupewa tahadhari

Watu wote tunapenda amani itawale.
Msistiso uwe ni kuwepo kwa amani kusiwepo fujo ya aina yoyote ile.
Damu ya mwanadamu ina Siri kubwa na ni ya thamani isiyo mithili Mungu pekee ndio anajua Muumbaji wetu.
 
Yeye huyo mbowe atakuwepo pale mnazi mmoja kuyapokea hayo maandamo
 
Hayo ndio Yatakuwa maandamano ya kweli na sio haya ya Wahuni!
 
I
Kwanini boda mkuu? Kama ishu ni kuniombea ajali si hata kujikwaa inawezekana mtu ukavunjika. Huoni unalaani na dereva wa watu ambaye wala hausiani na mtazamo.
Imekula kwako mjumbe. Hamuwezi beza juhudi za kupambana na umwagaji damu mkawa salama Yuko Mungu. Ubarikiwe sana.
 
I

Imekula kwako mjumbe. Hamuwezi beza juhudi za kupambana na umwagaji damu mkawa salama Yuko Mungu. Ubarikiwe sana.
Kama ni MUNGU huyu huyu tunayemwabudu basi ntamalizana naye. Au ni mungu wa kwako mwenyewe tofauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…