Atakayeandamana asiseme hakupewa tahadhari

Atakayeandamana asiseme hakupewa tahadhari

Watu wote tunapenda amani itawale.
Msistiso uwe ni kuwepo kwa amani kusiwepo fujo ya aina yoyote ile.
Damu ya mwanadamu ina Siri kubwa na ni ya thamani isiyo mithili Mungu pekee ndio anajua Muumbaji wetu.
 
Mbowe awe mstari wa mbele, asijifiche alafu watu wanaumizwa yeye asije maandamano, maana Mbowe ndio katangaza maandamano, tahadhari kubwa ishatolewa, ni marufuku kuandamana bila kibali cha polisi, mtu mbabe aandamane hiyo kesho, kilio kitakuwa kikubwa sana
Yeye huyo mbowe atakuwepo pale mnazi mmoja kuyapokea hayo maandamo
 
Sijui km kesho patakua na maandamano ila ..tu akili zangu zinaniambia kuna siku haina jina wala saa.. hakuna anae jua watu wataingia wenyewe barabarani bila hata kuambiwa na chama chochote.
Viongozi matumizi ya nguvu siku zote hua mwisho wake mbaya kama chadema wana hoja wasikilizeni hii nchi ni yetu sote machafuko yakija hata sisi tusio mashabiki wa vyama tutateseka wote maana hakutakalika tena si kwa chadema wala ccm na act.
Tuiweke Tanzania mbele tuache mabavu tunakoelekea si kuzuri hata kichaa tu anaona.
Hayo ndio Yatakuwa maandamano ya kweli na sio haya ya Wahuni!
 
I
Kwanini boda mkuu? Kama ishu ni kuniombea ajali si hata kujikwaa inawezekana mtu ukavunjika. Huoni unalaani na dereva wa watu ambaye wala hausiani na mtazamo.
Imekula kwako mjumbe. Hamuwezi beza juhudi za kupambana na umwagaji damu mkawa salama Yuko Mungu. Ubarikiwe sana.
 
I

Imekula kwako mjumbe. Hamuwezi beza juhudi za kupambana na umwagaji damu mkawa salama Yuko Mungu. Ubarikiwe sana.
Kama ni MUNGU huyu huyu tunayemwabudu basi ntamalizana naye. Au ni mungu wa kwako mwenyewe tofauti?
 
Back
Top Bottom