Atakayeandamana asiseme hakupewa tahadhari

Atakayeandamana asiseme hakupewa tahadhari

Yeyote atakayeshiriki maandamano basi amejitoa sadaka Kwa vyombo. Asije kulaumu baadae.
Yaani maandamano ya kutengenezwa kwa utekeja wa kutengenezwa ili chadema iandamanishe watu kufuatana na mpango wa ubeberu wa marekani kuyumbisha nchi kududi kuiondoa ccm madarakani.
 
Boda itavunja mguu wako soon
Kwanini boda mkuu? Kama ishu ni kuniombea ajali si hata kujikwaa inawezekana mtu ukavunjika. Huoni unalaani na dereva wa watu ambaye wala hausiani na mtazamo wangu?
 
Sijui km kesho patakua na maandamano ila ..tu akili zangu zinaniambia kuna siku haina jina wala saa.. hakuna anae jua watu wataingia wenyewe barabarani bila hata kuambiwa na chama chochote.
Viongozi matumizi ya nguvu siku zote hua mwisho wake mbaya kama chadema wana hoja wasikilizeni hii nchi ni yetu sote machafuko yakija hata sisi tusio mashabiki wa vyama tutateseka wote maana hakutakalika tena si kwa chadema wala ccm na act.
Tuiweke Tanzania mbele tuache mabavu tunakoelekea si kuzuri hata kichaa tu anaona.
We kwa mfano unaweza kumsikiliza mtu mwenye madai ya kipumbavu kama hayo ya kukwambia you must go???? Where, how, when, which procedures?? Hizo ni bange! Acha waende wakatandikwe haswaaa!! Na ninasema vijana wa FFU watandikeni haswaaa!
 
Ongea na mkeo na wanao, hao ndio wako chini Yako,

Huna uwezo wa kumuamulia yeyote juu ya kuandamana au kutoandamana.
Una comment ma ujinga yako hapa, kesho upo chumbani kwako kimyaa!! Unawasakizia watoto wa watu!! Nyambaf!!
 
Una comment ma ujinga yako hapa, kesho upo chumbani kwako kimyaa!! Unawasakizia watoto wa watu!! Nyambaf!!
Wazuie wanao Ili wasitoke,

Waliotekwa wakiwa majumbani mwao wengine kuuwawa, Wala hawakuwa wakiandamana.

Maandamano ni njia Bora zaidi kuzibua masikio ya viongozi viziwi Ili kuchukua hatua stahiki.
 
Back
Top Bottom